TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Mie naona kafanya jambo jema sana.
Maana ninyi wanaume huwa hamuaminiki hata kidogo.
Mnajulikana chako chako changu cha familia sio fair.
Mie naona kafanya jambo jema sana.
Maana ninyi wanaume huwa hamuaminiki hata kidogo.
Ujinga ni pale unaposema kipato cha mkeo ni chake mwenyewe na Ana hiari ya kkpa au kutokupa! Kwa maana nyingine ni kuwa anahiari ya kuhonga mtu mwingine aule wakati familia inateseka. Huu ni ujuha full stop!hebu rudi kwanza kajifunze kuandika ndipo uje uonyeshe ujinga wangu.
kama huwez kusoma na kuelewa basi usijibu manake ukijibu utajibu makosa.
Mkuu Edison, pole na yaliyokukuta! Kwanza rejea kwenye ukweli kwamba mwanaume ndiye kichwa cha familia katika mji wowote, yeye ndiye mwenye majukumu yooooote ya kifamilia, hili ni compulsory na wala halina option! Utamaduni uliojengeka hasa katika jamii zetu hizi za kiafrika ni kwamba, mama halazimiki kuwa bread winner of the family, hasa kama baba yupo, tena akiwa mzima mweye afya! Hivyo,mwanamke yeye ana opton katika kuitunza familia as they consider it not being their mandatory task, regardless uchumi wa mke ni mkubwa kiasi gani ukilinganishwa na wa mumewe! Imezoeleka hivyo, na ndivyo wafanyavyo wanawake walio wengi Afrika, na hata karibuni dunia nzima! Imeandikwa katika vitabu vya dini, "Enyi wanaume, ishini na wake zenu kwa akili". Mkuu stuka usingizini!-
MY TAKE!
-Mkuu kama ulioa mtumishi kwa maana ya kuwa upate unafuu wa maisha, hilo liondoe kwani linategemea saana mtizamo wa mkeo, inawezekana yeye anawathamini na kuwajali zaidi ndugu zake kuliko wewe! Ieleweke kuwa, wapo wanawake waandaao future zao somewhere else kusikojulikana na waume zao! Hii ni hatari zaidi kwani kufanya hivyo logically kunamaanisha hana mpango wa kuendelea na wewe hapo baadae, na nina hisi mkeo hili ndo alifanyalo so longer hauelewi transaction za pesa zake zinaelekea zaidi kwa dada yake bila wewe kujua nini sababu ya yeye kufanya hivyo!
Pili, jitahidi saaaaana uishi -na mkeo pahala pamoja! Hii mambo ya eti uko Dar, yeye yuko Musoma ni uongo! People do change bhanaa... sie binadamu tunashawishika! Inawezekana tayari mapedesheee wameshamvuruga akili ndo maana anakujibu hovyo! Angelikuwa nyumbani uko naye kila leo, ingelikuwa ni rahisi kuitambua na kuidhibiti mapema mienendo yake usiyoridhishwa nayo!
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
umenena kongosho,kula gwala kwanza!binafsi mamaangu amekua msaada mkubwa sana kulko dingi,kafight mpaka leo npo chuo kwa jasho lake,angeamua kuwa mjinga na mbinafsi km huyo mke wala ncngefka hapa nlpo.Wanawake badilikeni,wapen sapoti waume zenu wakwamapo kwa ustawi ya familia.Mie mwanamke asiyetaka kumsaiidia mumewe na hali anao uwezo namuonaga kilaza wa kwanza, sasa mihela unaitafuta aile nani kama si uwapendao, mume na watoto wakiwemo? Kujazana ujinga tu, mwanamme majukumu, kama naye siku hiyo hana, na kweli hana, na mke unazo kwa nini usimpe? Labda kama kidumu.
Yaani unanuoma mume kapanda kitandani anasononeka hana hela ya ada, na mke anazo, na bado unakataa kumsaidia? Kwanza kufanikiwa kwa watoto sio sifa ya mume tu, ni sifa kwa familia nzima.
Hizi elimu bado hazijakomboa baadhi wanawake kabisa. Mtu anapata hela halafu hazitumii kwa wahusika wa kwanza? Tufyakwa!
Ujinga huu ndio unasababisha watu wengi wakishaoa wanawaachisha wake zao kazi! maana mwaka mzima yuko kazini lakini hakuna anachosaidia hapo nyumbani. si bora ashinde nyumbani tu! mkuu Edison hebu jipe muda kidogo utafakari kisha fanya maamuzi magumu, mrudishe mama nyumbani alee familia. hizo kazi zake hazisaidii familia yenu.
Ujinga huu ndio unasababisha watu wengi wakishaoa wanawaachisha wake zao kazi! maana mwaka mzima yuko kazini lakini hakuna anachosaidia hapo nyumbani. si bora ashinde nyumbani tu! mkuu Edison hebu jipe muda kidogo utafakari kisha fanya maamuzi magumu, mrudishe mama nyumbani alee familia. hizo kazi zake hazisaidii familia yenu.
Pole sana Mkuu...Inauma sana kuona mkeo yuko tayari kuona mwanenu anaacha shule kwa madai naye hapa pesa na hapo hapo una ushahidi wa yeye kutuma pesa chungu nzima kwa nduguze. Sijui hata nikushauri nini Mkuu...Pole sana.
acheni ujinga, mke na kila kitu alichonacho ni cha mme, na mme hali kadhalika! Chochote apatacho mkeo LAZIMA akiweke kwenye kapu la familia ambalo lina mapato yote ya mume yamo! Ndio mnaanza kupanga kipi kianze na kipi kisubiri! Kama hawezi achana nae maana ni either yupo nawe au kinyume!
whaat?
.........
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Mgema vyake huwa haviliki.