Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,850
- 37,560
sm tym wanawake tuna matatizo sana! inashangaza kuona unashindwa kumlipia mwanao wa kumzaa ada ya shule, eti km vipi mtoto akae nyumbani! dah! we mwanamke! pole sana bro. swala la kufanya biashara na dadaake its ok, but kubwa ni mtt kumpa haki yake, na isitoshe mume mambo yameyumba na ukweli mke kaambiwa, dah! aisee hii dunia inamazito sana! binadamu tuna roho za ajabu sana! km kuna ugomvi kati yenu, hizo tofauti zisipelekee kumweka mtoto kwny mazingira magumu na akakosa haki yake ya msingi tena ELIMU! jamani!!
...kweli kabisa, hapa mwanamke amekosea,basi tu!...na cc muda mwingine wanawake tunamatizo