nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Afu Kongosho nimeshachunguza ndugu...ndugu hawanaga shukurani kabisaaaaa
Hata biblia haiwatambui...inawatambua wazazi waliobaki tupa kule.
Unajua kuna familia zinashauri watoto wao wa kike wawaibie waume zao wajenge kwao...eti wenyewe wanasemaga 'security'. Akyanani...watu wanaenda kwenye ndoa wakiwa na security sijuhi insurance...
Mtu umeolewa...kwenu unajenga ili iweje...ndio maana Wahaya (mostt of them) mwanamke arithi ardhi kwao...ili akiolewa akatulie na mumewe

Afadhali na wewe umesema.
Kama hela ya mke hailiwi na watoto au mume nani sasa ataila?
Yaani hata jambo la msingi kama elimu ya watoto?
Mie nimeshangaa kwa kweli.