Simuamini tena mke wangu!

Simuamini tena mke wangu!

Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!

Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!

Nimfanyaje mke wa namna hii?

Baba ni head of the family
 
Mkeo kafariki?
 
Ooppsss, sitooa mwanamke msomi, nitaoa darasa la 7 hadi kidato cha 4 basi. Hizi jitihada za serikali kumsomesha mtoto wa kike is fine ila wengi wao wanapata elimu ila wanapoteza hekima ktk ndoa. Mkeo wa ndoa anakujibu " mtoto kaandikishwa jina lako au langu" mkuu nikijaribu kujivarisha viatu vyako hapo una tatizo kubwa sana. Maana mtoto wa kumzaa ye mwenyewe hana uchungu na elimu yake hadi akujibu hivyo. Pia kuoa tuwe tunaangalia na historia ya familia kujua hekima ya wanafamilia, tatizo mtu aliyeoa familia hiyo muulize atakujibu mabinti wa hapo wapo hivi. Maana jibu lake hilo baya chemichemi yake sio yeye tu, bali huyo dada yake/zake wamehusika kumjaza ujinga kuwa jukumu la familia ni la mume we fanyia yako hela yako. Kama mi ni wewe ningefanya hivi;
1. Kutojihusisha na mambo ya familia yao. Maana mtoto kaandikishwa jina lako mume basi kwao wakipata shida asikuletee jukumu lolote maana wazazi wake si wanamajina ya mke hawana jina lako.
2. Tambua wazi kuwa kazi ya mkeo haina msaada kwako, maana walau angesema hana basi mshauriane mfanye nini, hata kukopa saccoss mtoto aende shule ila jibu lake yaani kakuachia msalaba wooote peke yako pasipo hata kuumizwa kichwa...
Kwakweli faida ya kuoa msomi mwenye ajira eti tutasaidiana majukumu iko wapi hapo, na kama kakujibu hivyo na umeseme umeondoka mmezinguana sana hivi hata nafasi ya ye kukusaliti ni 75% mkuu. Dah dah dah naumia sana yaani nawaza mkeo anakujibu hivyo, God help us. Ila mkuu jitoe ktk majukumu yake, komaa na elimu/mahitaji ya watoto. SITOOA MWANAMKE MSOMI ZAIDI YA KITADO CHA NNE. elimu zenu ni bureee, elimu zenu ni maumivu kwa waume, elimu zenu ni chanzo cha kudharau waume.
NB: sio kwa wanawake wote.
Ila nyi kasomeni vyuo vikuu ila kwangu sioi aliyevushwa joho na kofia kichwani. Damn shit!
 
^^
Inategemea tangu mwanzo,ulimjenga vipi,,kama uliona ni jukumu la kumsomesha mtoto unaliweza,pengine nae anakushangaa kwa nini umuhusishe.
..
Kauli kuwa mtoto ameandikwa jina la nani,si ya kupuuza.Imebeba mengi.Ila usichukue uamuzi wowote wa kutengana maana watoto watataabika.
^^
Mkuu haijalishi alimjenga vipi tangu mwanzo, ila jua mume ni binadamu si Malaika, kama kayumba mke angedaka jukumu walau kwa muhula huo tu. Ila sio kujibu hivyo yaani ni kama kamkana mtoto. Dah, sorry to say this ila ingekuwa ni mimi kuanzia hapo ndoa ingepumulia mashine na hata mara ningekaa hata 2 years siendi. Naagiza ndugu nampa hela amfate mtoto kipindi cha likizo nikae nae likizo ikiisha namtuma ndugu amrudishe.
 
Mwanamme yeyote anayeoa mwanamke mwenye kazi ili wasaidiane maisha huwa anabet kwasababu tangu zamani pesa ya mwanamke siyo ya kutegemea kabisa.
 
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!

Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!

Nimfanyaje mke wa namna hii?
Fanya juu chini umchukue mkeo ishi nae kwenye dari moja
Mengine yatajipa yenyewe kuna kila dalili kwamba mahusiano yenu yanapoteza nuru na ndo chanzo cha hayo makando kando
Narudia tena chukua mkeo uishi nae
 
Kwanza nikuulize mkuu watoto wenu wanaishi na nani kati yenu?, kama wapo na mkeo alo! Wachukue haraka ila wasijue tofauti zenu, wewe wachukue kwa akili, kisha kuwa nao karibu sana kabla hawajaja kuwa na majibu kama ya mkeo kwako.

Pili usipende sana kumchunguza mkeo, utakuja kufa kwa presha bure ndugu yangu. Itoshe kujua kuwa mkeo hana adabu ila usipende kujua kipi kinamkosesha iyo adabu.

Tatu, usijaribu kufanya jitihada yoyote kusitisha hicho anachokifanya mkeo kama jitihada ya awali imeshindikana. Kwanini uwe na ugomvi na ndugu za mkeo?, ugomvi na mkeo unatosha na ni hatari tosha kwa maendeleo ya familia yenu.

Nne, kuwa mtu wa ibada kama ni kanisani nenda sana kama ni msikitini ijumaa isipite hujaenda msikitini. Ila usiende mlilia Mungu juu ya mkeo bali ongea na Mungu juu ya watoto wenu narudia 'wenu' na si 'wako'.

Mimi ni hayo tu machache ukiona yanakufaa yote kheri ndugu yangu.
 
cmama kiume bro.. mpge mute kama miez miwil afu akleta zake rudsha lile jbu lake..
 
Back
Top Bottom