mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Nipo.
Ndio, lazima nimpe mwanamke mwenzangu ushauri ulioenda skuli.
Mwana wa Kizuka...akizuka, zuka nae.
ha ha ha
Nipo.
Ndio, lazima nimpe mwanamke mwenzangu ushauri ulioenda skuli.
Mwana wa Kizuka...akizuka, zuka nae.
kuamini au kutokuamini kunauhusiano gani mtoto uliyemzaa mwenyewe?Mie naona kafanya jambo jema sana.
Maana ninyi wanaume huwa hamuaminiki hata kidogo.
sawa hatukatai....ila angalia usiwe wewe ni wale wako radhi wafukuzwe kwenye nyumba kwa kukosa kodi kisa mumewe amekwama...na ili hali anayo.Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
Mzee jukumu la kusomesha mtoto ni lako wewe baba
mkeo ata akiwa na milioni 900 hizo ni zake
Acha kufuatitilia mkeo kuhusu pesa
Unataka amtumie nani
Hujafundwa wewe nitafute haraka
kuamini au kutokuamini kunauhusiano gani mtoto uliyemzaa mwenyewe?
kwahiyo hata akisepa utamuacha mtoto akae nyumbani kwasababu jina liloandikwa ni la mumewe?
tumiaeni akili kwakua mtoto ni hazina kwa wote wawili....sio usubiri akishaanza kuwaletea ugali ndo unakua na maneno yasioisha kuhusu kupata shida naye kumkuza na kumsomesha...
ha ha ha
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Afu mbona huji Biafra ninaporudisha heshima ya ndoa kwa mazoezi makali chini ya ticha Rasta?
jamaa ameongea vema sanaKaka jipange kivyako yawezekana yeye anamipango mingine ya maisha na hao ndugu zake.
Mamndenyi...nimestuka kweli....huyu mleta uzi sio mimi....kuna ka tofauti kadogo kweli kwenye majina yetu kwangu hakuna ''I'' wakat kwake ipo...Edson pole ...., ujanja wako wote huo umekutana na kiboko yako ...... mrudie mkeo mtakomoana kila mmoja ataanza kwenda njia yake wato+o ndio watakaopata shida. ,.....
kama huo ndio uanamme sawa ila na uwanamke sio kufanya kazi ni kukaa nyumbani usubiri kuletewa na mume. sasa kazini unaenda kufanyaje?! wewe kaa nyumbani oga vizuri jivukize ubani uweke mwili tayari kuburudisha mume akirudi kazini. mahitaji yote utapata toka kwa mume!!!Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!