Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

Hapa tunaomba suruhisho maana tumeshaonekana mazombi......na ni mazombi kweli......but mleta mada wewe ushauri wako ni nini maana sio Tanzania tu bali ni dunia nzima
smart phone zote zipigwe marufuku......turudi kwenye nokia ya tochi
 
simu hizi zinatia uchiZi
kweli aiseeee kuna nyakati nilikuwa naskia kama simu yangu inaita
lakini nikiitazama inakuwa haiiti wala sikuti miss call nikaona isiwe tabu sikuhizi nimwendo wa silent tu
smartphone ni ugonjwa mbaya sana
 
Ndo Duniani ilipofikia.Hata kanisani watu bible wanafungua kwny Simu


43ca317c65903bfd009da76e388b7fa0.jpg


Cc Smart911
 
kama..wewe..ulivyo..zombi,umetumia..simu..yako,kuandika..na..kupost..uzi..JF.
 
inakera,sana..na..huwa..siwathamini..watu..wa..ivo.mtu..utakuta..mmeongozana,mnatembea..wote..ila..yeye..yupo..bize..na.
simu..yake..hata..hamuongeleshani,
 
Wakuu, matumizi ya smart phones wanawafanya watumiaji wake kuwa mazombi...yaani unakuta mtu ameconcentrate kwenye simu kuliko kitu kingine.

Mtu anatumia simu hadi kutokusikia lolote.
Kwasasa ukiingia sehemu yenye watu wengi, angalia tu uone ni kwa kiasi gani hizi simu zimewabadilisha watu, anatizama simu na akili yote ikiwa hapo. Huu ni uzombi full


K
Hata hapo wewe umefanya uzombi kwenye utumii simu
 
inakera,sana..na..huwa..siwathamini..watu..wa..ivo.mtu..utakuta..mmeongozana,mnatembea..wote..ila..yeye..yupo..bize..na.
simu..yake..hata..hamuongeleshani,
Ndio hivyo, uzombi
 
Hapa kuna jamaa tupo naye baa moja ..tunangoja chakula toka tumesalimiana.. Hatujasema neno zaidi ya dk 30.. Simu na jicho..jicho na simu.. Hii sio salama kabisa
Ndio uzombi wenyewe sasa
 
Mimi simu nahisi ishanipa ugonjwa wa akili. Sometimes naisikia inaita nikiangalia screen wala haiiti. Itabidi niulize wataalam maanake hali hii imezidi.
Umenichekesha sana unaskia inaita wakati haiti,alafu unaskia vibration wakati mwingine kumbe hata sim haibrivate

Ova
 
Ukitaka kujua ww ni mraibu kiasi gani wa kutumia simu.
Je unaweza kukaa muda gani bila kutumia simu??
Una account katika mitandao yote ya kijamii
Una michezo mbalimbali kwenye simu yako
Bado hujaperuzi mitandao mingine.
Ukitaka kufanya marekebisho
Jiulize SIMU YANGU INANIFAIDISHA NINI KUWA NAYO?
 
Umenichekesha sana unaskia inaita wakati haiti,alafu unaskia vibration wakati mwingine kumbe hata sim haibrivate

Ova
Seriously nilitaka kufungua uzi kuelezea hii hali. Shughuli zangu zinanilazimu kupokea simu nyingi sana najua hii ndio sababu ila siwezi kuacha kwasababu ndio njia ya kupata riziki.
Nasikia kabisa simu inaita, nikiiangalia au nikienda ilipo haiiti!
 
Mara nyingi huwa naicha simu nyumbani kwa matembezi ya jioni au nikienda bar... Hii hunipa mda wa kuwa bizi na vitu vingine.
 
Back
Top Bottom