Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

Seriously nilitaka kufungua uzi kuelezea hii hali. Shughuli zangu zinanilazimu kupokea simu nyingi sana najua hii ndio sababu ila siwezi kuacha kwasababu ndio njia ya kupata riziki.
Nasikia kabisa simu inaita, nikiiangalia au nikienda ilipo haiiti!
Hatuna jinsi mkuu tushakuwa mateja wa sim
Hahaha

Ova
 
Zombi kawataja mazombi, duuh!!

Weita zungusha tena balimi za moto!!
 
ni aina mpya ya madawa ya kulevya. siku zijazo mikono itakua kama upawa wa kupakulia mboga kwasbb muda wote umeukunja kushikilia simu huku ubongo ukifungwa usiwaze chochote cha ziada nje na simu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni addiction moja ya hataree sana. Ila natumai hapo umetumia kompyuta wakati wa kuandika hii thread
 
59fa85d47ce68ec7386231a687afdd88.jpg
picachu haka kagame kakijinga sana....wazungu kamewatoa akili sana[emoji23][emoji28][emoji23] sijui kamepotelea wapi kama dr shika
 
siku izi hata kwenye mtanange ile mapumziko watu wanakimbilia simu, badala wakae wapeane stimu kuanzisha round ingine.

hata katika vikao kila mmoja ama kundi flani halifatilii mjadala wako bz na cm
 
Sasa mm nadhani nimefika hata mbaya zaidi pamoja ya kuwa addict wa simu pia ni addict wa JF huwezi amini nikifumbua macho tu asubuhi lzm niingie hapa,najiuliza nifanye je nipunguze km sio kuacha!
 
Watumiaji wataathirika vibaya, uwezo wa kufikiri hudumaa. Wanaosomea tiba, fani za tiba ya macho na akili wazichague. Miaka ijayo zitalipa sana.
 
siku izi hata kwenye mtanange ile mapumziko watu wanakimbilia simu, badala wakae wapeane stimu kuanzisha round ingine.

hata katika vikao kila mmoja ama kundi flani halifatilii mjadala wako bz na cm
Noma sana
 
Sasa mm nadhani nimefika hata mbaya zaidi pamoja ya kuwa addict wa simu pia ni addict wa JF huwezi amini nikifumbua macho tu asubuhi lzm niingie hapa,najiuliza nifanye je nipunguze km sio kuacha!
Addiction au Mzio
 
Wakuu, matumizi ya smart phones wanawafanya watumiaji wake kuwa mazombi...yaani unakuta mtu ameconcentrate kwenye simu kuliko kitu kingine.

Mtu anatumia simu hadi kutokusikia lolote.
Kwasasa ukiingia sehemu yenye watu wengi, angalia tu uone ni kwa kiasi gani hizi simu zimewabadilisha watu, anatizama simu na akili yote ikiwa hapo. Huu ni uzombi full

K
nawachukia sana watu ambao ,inatokea mmekubaliana kukutana sehemu kwa maongezi tena wakati mwingine hamjaonana kitambo, lakini mnafika pale unaona mtu concentrate na simu yake , anaongea kidogo mawazo yote kwenye simu mara anacheka na msg za simu, sasa si ungebaki ndani kwako kuchat na si kuja na kupoteza muda....likiulizwa kitu linakurupuka ..eti unasema mwanangu...b***t kabisa
 
Hatari sana aise
 
Back
Top Bottom