Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,848
Watu weusi ni Washamba wa teknolojiaWakuu, matumizi ya smart phones wanawafanya watumiaji wake kuwa mazombi...yaani unakuta mtu ameconcentrate kwenye simu kuliko kitu kingine.
Mtu anatumia simu hadi kutokusikia lolote.
Kwasasa ukiingia sehemu yenye watu wengi, angalia tu uone ni kwa kiasi gani hizi simu zimewabadilisha watu, anatizama simu na akili yote ikiwa hapo. Huu ni uzombi full
K
Wazungu wengi wanaokuja kufanya kazi Africa either ya kulipwa au ya kujitolea wananunua Nokia za tochi wanajiunga na dakika za kutosha na msgs za mwezi
Kama wana smartphones wakifika maeneo ya kazini au kikaoni wanazima simu na kiziweka mezani au wanafungia somewhere anabaki mmoja tu wa kupiga picha au kurekodi matukio
Ila wabongo unakuta woote wamewasha data wanachat tu on Whatsapp, Instagram etc
Kazi UMBEA tu.