Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
5,035
Reaction score
4,918
Wakuu, matumizi ya smart phones wanawafanya watumiaji wake kuwa mazombi...yaani unakuta mtu ameconcentrate kwenye simu kuliko kitu kingine.

Mtu anatumia simu hadi kutokusikia lolote.
Kwasasa ukiingia sehemu yenye watu wengi, angalia tu uone ni kwa kiasi gani hizi simu zimewabadilisha watu, anatizama simu na akili yote ikiwa hapo. Huu ni uzombi full

K
 
ni aina mpya ya madawa ya kulevya. siku zijazo mikono itakua kama upawa wa kupakulia mboga kwasbb muda wote umeukunja kushikilia simu huku ubongo ukifungwa usiwaze chochote cha ziada nje na simu
 
Signs that you are completely Addicted to you Phone.
 
ni aina mpya ya madawa ya kulevya. siku zijazo mikono itakua kama upawa wa kupakulia mboga kwasbb muda wote umeukunja kushikilia simu huku ubongo ukifungwa usiwaze chochote cha ziada nje na simu
Tena yataadhiri watu wengi sana, Vijana kwa Wazee
 
simu hizi bwana unaweza gongwa na gali hujielewi
 
Wakuu, matumizi ya smart phones wanawafanya watumiaji wake kuwa mazombi...yaani unakuta mtu ameconcentrate kwenye simu kuliko kitu kingine.

Mtu anatumia simu hadi kutokusikia lolote.
Kwasasa ukiingia sehemu yenye watu wengi, angalia tu uone ni kwa kiasi gani hizi simu zimewabadilisha watu, anatizama simu na akili yote ikiwa hapo. Huu ni uzombi full

K
Naamini wakati unaandika hii post ulikuwa kwenye concentration kubwa na hata utakapokuwa unafuatilia replies wa watu pia
 
ni aina mpya ya madawa ya kulevya. siku zijazo mikono itakua kama upawa wa kupakulia mboga kwasbb muda wote umeukunja kushikilia simu huku ubongo ukifungwa usiwaze chochote cha ziada nje na simu
Aina mpya ya uraibu ni betting/mikeka..iko worldwide ili kupunguza wimbi la addiction ya drugs na wala sio simu!

Matumizi ya simu ni jambo la hiari!
 
Baada ya miaka 10 ijayo tutaona matokeo mengi sana mabaya yatokanayo na simu zetu.
 
Simu hizi mmmh kuna siku nilikua natoka chuo nipo barabarani nipo busy na simu nikastuka nimeanguka chini pwaaah bahat nzuri haikua barabara inayotumiwa sana na magari aisee hatari nikarudi nimechafuka watu wananishangaa tu njian..inabid kua makin sana simu isikutoe fahamu binafsi nilijifunza kitu
 
Back
Top Bottom