Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Nakubali Mkuu Ila mtu unaweza sema ni za zamani sababu hata ukizipata tatizo battery utapata shida na ukipata haitakaa na charge
Hizi siyo simu za zamani, hadi leo zinatumika. Sema tu tofauti leo wengi tunatumia cell phone. Lakini aina hii ya simu ni zile za mkongo wa landline. Tembelea maofisini utakuta simu za kikazi ambazo ni landline zipo za aina hiyo. Hali kadhalika majumbani zipo nyingi tu. Na kama ni wireless basi distance yake ni ndogo yaani kuzunguka nyumba tu.
Na si Tanzania tu, duniani kote utazikuta simu aina hiyo. Na kama utaweka landline home phone tegemea kuwa na simu aina hiyo. Hizi si portable phone kama zilivyo cell phones. Wengine kwa vile wamezoea kuwa na cell phone tu wanafikiri aina hii ni ya zamani haipo tena, kumbe hawajakumbuka aina ya simu na matumizi yake hali kadhalika aina ya simu ya mazingira ya matumizi yake.
Hizi ndizo simu za zamani ambazo kwa sasa zipo kwenye majumba ya makumbusho ya mambo ya kale. Ila tunaozidharau ni sisi watanzania kwa sababu ya kasumba. Wazungu kuna baadhi ya maeneo ya public wameweka simu aina hiyo kwa matumizi ya kulipia kwa miito ya mbali kama kitega uchumi na pia ni pambo maridhawa na kuwaonyesha vijana wa kizazi cha leo teknologia ya mawasiliano ya simu yalikoanzia.
Dah! Hizi simu waliokuwa nazo walikuwa wakiziwekea kufuri ndogo sehemu ya ku dial, ila tuliokuwa wajanja, tuliweza kupiga hizo simu bila ya kuzungusha zungusha, just kwa mtindo wa Morse code, yaani tukitumia hiyo sehemu ya kukatia simu... click click mara tisa ina maanisha ni zero.
Mambo hayo Unapiga Simu namba 091 Unauliza Saa Sauti Nzito Inakutajia Muda '''Usikiapo Sauti ya Tindo Hivi Sasa ni Saa Tatu usiku na dakika mbili sekunde saba nukta tisa. simu inakatika mtu unafanya kama mchezo kila mara unapiga oi
Orange Ipo Poa kulikuwa na Rock zake Watoto wasichezee au bill isije kuwa kubwa ukipiga long distance call mwisho wa mwezi baba hana mshahara funguo anaenda nayo kazini oi
Siemens s-25 Ilikuwa poa[h=3]1992 Motorola International 3200[/h]
* * *[h=3]1992 Nokia 1011[/h]
* * *[h=3]1994 Ericsson GH 218[/h]
[h=3]1995 Sony CMD Z1[/h]
* * *[h=3]1996 Motorola StarTAC 75[/h]
[h=3]1998 Samsung SGH-500[/h]
* * *[h=3]1998 Nokia 9000[/h]
* * *[h=3]1998 Nokia 9110i[/h]
* * *[h=3]1999 Panasonic GD-70[/h]
[h=3][/h] [h=3]1994 Ericsson GH 218[/h]
1996 Motorola StarTAC 75
* * *[h=3]1997 Nokia 8810[/h]Hii ilikuwa si Mchezo Simu Kali hadi Taa zake mwanga mweupe ila ikichoka noma utakuta imewekwa super glue kila kona oi
Dah! Hizi simu waliokuwa nazo walikuwa wakiziwekea kufuri ndogo sehemu ya ku dial, ila tuliokuwa wajanja, tuliweza kupiga hizo simu bila ya kuzungusha zungusha, just kwa mtindo wa Morse code, yaani tukitumia hiyo sehemu ya kukatia simu... click click mara tisa ina maanisha ni zero.
Ilikuwa simu ikisumbua utasikia mtu akisema 'mobitel yangu inasumbua!'