Sijui ze way jamaa anaunganisha matukio naona ndoa inaondoka,inawezekana mama anafanya hayo kwa sababu, na kwa sababu jamaa ndo kakuelezea hawezi kusema chanzo..... wakae kitako yataisha tu kama watahitaji wao wanyewe.
Siyo rafiki ni mke wa ndoa kabisa tena ya kanisani kabisamajibu anayo mama
wakae chn walizungumze
wa nje ni vgumu kutia neno cz swaga zao hatuzijui...labda nio rafiki tu....labda ni mama ushauri uyo mama ndoa anapewa fdbak..MAJIBU WANAYO WENYEWE
WAZUNGUMZE
Siyo rafiki ni mke wa ndoa kabisa tena ya kanisani kabisa
akaamua kuisoma kama kawaida yake alikutana na ujumbe unasema hivi"darling nashukuru sana maana mama g......amenielezea na sasa hivi mb.....inataka kutoboa ch.....,"
Mwambie huyo jamaa yako aachane kabisa na mambo ya kushika simu ya mkewe atakufa na presure. Simu ni personal sana aachane nayo. Na akitaka ndoa yake ivunjike ajihusishe na hiyo simu ya mkewe hajasikia kuwa simu zimeachanisha sana ndoa? Aachane nayo kabisa
Mwambie huyo jamaa yako aachane kabisa na mambo ya kushika simu ya mkewe atakufa na presure. Simu ni personal sana aachane nayo. Na akitaka ndoa yake ivunjike ajihusishe na hiyo simu ya mkewe hajasikia kuwa simu zimeachanisha sana ndoa? Aachane nayo kabisa
Simu haziachanishi ndio bali tabia yako mbovu ndio huachanisha ndoa. Kama hutaki mumeo/mkeo ashike simu yako then kuna tatizo kwako
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:Simu haziachanishi ndio bali tabia yako mbovu ndio huachanisha ndoa. Kama hutaki mumeo/mkeo ashike simu yako then kuna tatizo kwako
Hatari jamani du, hii comment imenitisha DA- au na wewe ni mmja wao, samahani lakini
Mimi hapa ndio nashindwa kumuelewa mtu eti kwenye phone book yake anaandika kama ifutavyo;
The name in the phone book .......instead of..... The actual name of the person
What I commend is that, if you holds the contacts of a person in good faith, then you must register in full name of the person, and not in abbreviations, or in any way that may create questions and doubts to others.
- Sum/Sam ......instead fo..... Somson, Samweli,
- Edu1/2/3.... ...instead fo..... Edmund, Edward,
- Ben ....... ......instead fo..... Benedict, Benson, Benjamin...
- Godi .............instead fo..... Godbless, Godwin, Goodluck, Godson....
- Chris . ..........instead fo..... Christopher, Christina, ......
Simu kwa kweli zina mambo, kwa ishu hiyo huyo jamaa inabidi awe makini maana hapo inaonekana atakuwa anaibiwa.
Kuweka makubaliano na mwenzio namna ya kuandika majina kwenye phone books ni jambo muhimu sana, vinginevyo, matakuwa mnajenga mazingira ya kila mmoja kupata wasiwasi juu ya mwenzie...!Hizi ziko nyingi sana angalia hapa:
Kwa mwanaume: Kimaro - Angela Kimaro
Kapinga - Yasinta Kapinga
Odemba - Miriam Odemba
Kwa wanawake: John Ofisini - John Mwanyika
Musa Tax - Musa Obadiel
Alfa saloon - Alfa Magembe
Kuweka makubaliano na mwenzio namna ya kuandika majina kwenye phone books ni jambo muhimu sana, vinginevyo, matakuwa mnajenga mazingira ya kila mmoja kupata wasiwasi juu ya mwenzie...!