Simu za viganjani zina mambo

Mike 1234

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
1,633
154
Kuna siku nilielezea jinsi jamaa alivyo pigwa marufuku na mke wake kushika simu yake na alimwambia akishika ataipasua hiyo simu,sasa jana jamaa kaja tena na malalamiko mengingine, anasema ilikuwa muda wa saa tatu usiku mkewe alikuwa sebuleni yeye chumbani,mke wake akawa ameacha simu yake kitandani,akiwa pale akaona sms imeingia,maana anasema siku hizi mke wake huwa simu anaiweka silent,akaamua kuisoma kama kawaida yake alikutana na ujumbe unasema hivi"darling nashukuru sana maana mama g......amenielezea na sasa hivi mb.....inataka kutoboa ch.....,"baada ya kuisoma hapo hapo alimwita mkewe na kumwambia kuna sms yako,mama alipo isoma tu na kuifuta,jamaa akamuuliza ninani katuma hiyo sms amwambia sijui amwambia lete tumpigie akasema nimeshaifuta,kwanini bahati mbaya,sasa jaama anaomba ushauri kweli hapa kuna ndoa endelevu tena?maana aonavyo yeye mama anachakachua ndoa yao,wanajf mnasemaji kwa hili?
 
majibu anayo mama
wakae chn walizungumze
wa nje ni vgumu kutia neno cz swaga zao hatuzijui...labda nio rafiki tu....labda ni mama ushauri uyo mama ndoa anapewa fdbak..MAJIBU WANAYO WENYEWE
WAZUNGUMZE
 
inawezekana mama anafanya hayo kwa sababu, na kwa sababu jamaa ndo kakuelezea hawezi kusema chanzo..... wakae kitako yataisha tu kama watahitaji wao wanyewe.
 
Sijui ze way jamaa anaunganisha matukio naona ndoa inaondoka,
 
majibu anayo mama
wakae chn walizungumze
wa nje ni vgumu kutia neno cz swaga zao hatuzijui...labda nio rafiki tu....labda ni mama ushauri uyo mama ndoa anapewa fdbak..MAJIBU WANAYO WENYEWE
WAZUNGUMZE
Siyo rafiki ni mke wa ndoa kabisa tena ya kanisani kabisa
 
sweeeeetie jaman kwan ata km akiwa mke wa ndoa ndo hamwez mkazungumza?
asi ndo wanachosisitiza daily kwenye ndoa mawasiliano muhimu?
wazungumze kabla shetan ajajenga kibanda apo
 
akaamua kuisoma kama kawaida yake alikutana na ujumbe unasema hivi"darling nashukuru sana maana mama g......amenielezea na sasa hivi mb.....inataka kutoboa ch.....,"

Ni vyema jamaa akaelewa ya kuwa mwosha huoshwa........................and what comes around goes around.............
 
Mwambie huyo jamaa yako aachane kabisa na mambo ya kushika simu ya mkewe atakufa na presure. Simu ni personal sana aachane nayo. Na akitaka ndoa yake ivunjike ajihusishe na hiyo simu ya mkewe hajasikia kuwa simu zimeachanisha sana ndoa? Aachane nayo kabisa
 
Simu haziachanishi ndio bali tabia yako mbovu ndio huachanisha ndoa. Kama hutaki mumeo/mkeo ashike simu yako then kuna tatizo kwako
 
Simu kwa kweli zina mambo, kwa ishu hiyo huyo jamaa inabidi awe makini maana hapo inaonekana atakuwa anaibiwa.
 
Hatari jamani du, hii comment imenitisha DA- au na wewe ni mmja wao, samahani lakini
 
Mimi hapa ndio nashindwa kumuelewa mtu eti kwenye phone book yake anaandika kama ifutavyo;

The name in the phone book .......instead of..... The actual name of the person

  1. Sum/Sam ......instead fo..... Somson, Samweli,
  2. Edu1/2/3.... ...instead fo..... Edmund, Edward,
  3. Ben ....... ......instead fo..... Benedict, Benson, Benjamin...
  4. Godi .............instead fo..... Godbless, Godwin, Goodluck, Godson....
  5. Chris . ..........instead fo..... Christopher, Christina, ......
What I commend is that, if you holds the contacts of a person in good faith, then you must register in full name of the person, and not in abbreviations, or in any way that may create questions and doubts to others.
 
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Hatari jamani du, hii comment imenitisha DA- au na wewe ni mmja wao, samahani lakini

Hayajakukuta wewe mimi simu ya mwenzangu sithubutu kuigusa hata siku moja ila yeye ndio huwa anaigusa niliwahi kuigusa nikalazwa kwa BP so nilishajiepusha siku nyingiiiii
 
Mimi hapa ndio nashindwa kumuelewa mtu eti kwenye phone book yake anaandika kama ifutavyo;

The name in the phone book .......instead of..... The actual name of the person

  1. Sum/Sam ......instead fo..... Somson, Samweli,
  2. Edu1/2/3.... ...instead fo..... Edmund, Edward,
  3. Ben ....... ......instead fo..... Benedict, Benson, Benjamin...
  4. Godi .............instead fo..... Godbless, Godwin, Goodluck, Godson....
  5. Chris . ..........instead fo..... Christopher, Christina, ......
What I commend is that, if you holds the contacts of a person in good faith, then you must register in full name of the person, and not in abbreviations, or in any way that may create questions and doubts to others.

Hizi ziko nyingi sana angalia hapa:
Kwa mwanaume: Kimaro - Angela Kimaro
Kapinga - Yasinta Kapinga
Odemba - Miriam Odemba

Kwa wanawake: John Ofisini - John Mwanyika
Musa Tax - Musa Obadiel
Alfa saloon - Alfa Magembe
 
Jitoe mapema huyo siyo mkeo ni cha wote,mtenge vinginevyo unaweza kufa kwa kupewa sumu au mb......ikafa jumla wahi huu ni wakati muafaka
 
Simu kwa kweli zina mambo, kwa ishu hiyo huyo jamaa inabidi awe makini maana hapo inaonekana atakuwa anaibiwa.

Nyongeza ya hapo kwenye bold AMEKWISHA ibiwa........jamaa aukubali ukweli huu; na sio kujipa tumaini.........na asimame kushughulikia tatizo!
 
Hizi ziko nyingi sana angalia hapa:
Kwa mwanaume: Kimaro - Angela Kimaro
Kapinga - Yasinta Kapinga
Odemba - Miriam Odemba

Kwa wanawake: John Ofisini - John Mwanyika
Musa Tax - Musa Obadiel
Alfa saloon - Alfa Magembe
Kuweka makubaliano na mwenzio namna ya kuandika majina kwenye phone books ni jambo muhimu sana, vinginevyo, matakuwa mnajenga mazingira ya kila mmoja kupata wasiwasi juu ya mwenzie...!
 
Siku hizi ni kuomba Mungu tu asikuletee ugonjwa wa UKIMWI basi lakini kuwa na wanawake/wanaume imekuwa fashion.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom