Toa location Mpwa, Mimi Niko hapa Ibungu Lounge Mabibo MwishoNa-comment kwa kutumia Redmi note 11 pro hakuna hiyo makitu na niliupgrade toka Redmi note 9S kwenda 11pro na kwenye hii note 9S SIJAWAHI PATA HIYO ISSUE. Inawezekanaje kuwa copy hiyo mazee
Karibuni tuanze kuukaribisha mwaka 2023
Dah!! Mpwa I wish ningekua darisalama mie napatikana mji kasoro bahari ndani ndani huku nimeamua kuanza na laini baadae nakazia na ngumuToa location Mpwa, Mimi Niko hapa Ibungu Lounge Mabibo Mwisho
Hawakwambii tu, looks like factory error. Kuna batch ya hizi simu zilikuja na mawenge hatari, ila generally ziko vzrWakuu salama?
Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa imeanza tena kupata moto sana haswa nikiwasha data halafu nikawa natumia camera.
Itapata moto mpaka inaleta notification kuwa "your device is overheating" Na wakati huo ina disable baadhi ya vitu.
Naombeni msaada wakuu, ni mimi nakosea matumizi au ni simu zina hili tatizo?
CHIEF MKWAWA
Mkuu yangu ni note 11 ila inazingua gbWhatsapp haitaki kuinstall kabisaNimetumia Redme 10 iko poa na sasa wiki ya pili hiii natumia Redme note 11 pro Plus hii product ya India iko poa pia
Una what'saap official kwenye simu???Mkuu yangu ni note 11 ila inazingua gbWhatsapp haitaki kuinstall kabisa
NdioUna what'saap official kwenye simu???
Anza kutoa hiyo what'saap official download GV Whatsapp kwanza kisha utairudisha what'saap officialNdio