Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

Mkopaji anajua, ila unakuta kaamua kunyooshwa.
Kuna Father amekuja na A05 anasema aliuziwa na kijana mtaani kwake , complain yake anasema simu imemuandikia locked baada ya kurestore nikamwambia hiyo ilikuwa na mkopo wakatoa mkopo kwahyo ulivyo restore ndoumeharibu akasema naomba unielekeze wanapapotikana hao watu credit ambao wameifunga hii simu yangu nikamwambia hiyo ni case kubwa inabidi ujiandae akasema wew nielekeze tu ofis hayo mengine niachie mim nikamuelekeza kuna branch wanakopesha simu sijui ni nn kilitokea huko ila mzee ni taita kinoma🙌
 
Back
Top Bottom