Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

Wanawashikia bakora au wanaenda wenyewe
Wanaenda wenyewe. Then how comes hizi Shell tunaenda wenyewe lakini mafuta yana bei elekezi? Point yangu ni kwamba kiwango cha riba za huu ukopeshaji hakina bei elekezi
 
Wanaenda wenyewe. Then how comes hizi Shell tunaenda wenyewe lakini mafuta yana bei elekezi? Point yangu ni kwamba kiwango cha riba za huu ukopeshaji hakina bei elekezi
Kwamba wanakopesha kwa bei zao pasipo mamlaka kujua?
 
Wanaenda wenyewe. Then how comes hizi Shell tunaenda wenyewe lakini mafuta yana bei elekezi? Point yangu ni kwamba kiwango cha riba za huu ukopeshaji hakina bei elekezi
Kama Wana hela kwanini wasinunue mpya.mkopo haujawahi kuwa mwepesi
 
Siyo mbaya kizur wanakuwa wamekusaidia kupata simu wakat huna hela ya kutosha

Sasa hako ka buku mbili hata ukikatunza katakusaidia nini
 
Siku hizi watu wanakopa halafu wanaenda kuziflash anatokomea mbali kampuni inakula hasara. Katika watu 10 waliokopa 4 tuu ndio wanamaliza kwa uaminifu.
Kumbe? 😹😹😹
Twende tukakope iPhone 17 mahi tutokomee kusikojulikana..!!
 
Ni kwasababu watanzania wengi kuna dhana imejengeka ya kuona ukitoa laki 4 hapo hapo kununua simu unaonekana umetumia pesa nyingi sana kuliko kulipia kila siku 2000 kwa mwaka mzima

Yani hatuoni hasara kwenye bidhaa iliyonunuliwa kwa malipo ya awamu awamu kwa kipindi kirefuhata kama baada ya kumaliza mkataba total price itasoma mara 3 ya thamani halisi, huwezi kuona muhusika akiichukulia hiyo kama hasara kwasababu tu hakuitoa kwa pamoja.

Huku uswahilini utakuta mtu anaona kulipa 50K kwa ajili ya kodi ya eneo la biashara ni nyingi, lakini hapo hapo mwenye eneo akimtaka awe analipa kila siku 2,000 mtu huyo anaona fair na anakubali.

Sababu ni kwamba ile 50,000 anaitoa kwa pamoja hivyo anaona ni nyingi.

Watu wenye mindset hizi ndio unawaona wakipapalika na michezo ya kikoba nk.
 
Kwani umelazimishwa kukopa mzee kama huna uwezo baki na kiswaswadu kinachokisumbua ni umekimbia umande unataka upewe mkopo wa simu mwaka mzima halafu malipo ulipe hela ya cash that is bullshit......ujajiuliza ukiibiwa simu,ukifa,ukiharibu simu hizo hasara zinarudi vp ?

Kwa upande mwengine wanasaidia sana jamii watanzania wengi kutoa tsh 300k kwa pamoja anunue simu hawezi ila kutoa buku au buku jero kila siku anaweza.
Ni wachache wanaojua hili na wakaiona hiyo fursa.

WaTz wengi hawamudu kununua simu kwa laki tatu cash, na ndio maana kipindi hizi tecno, infinix zilipokua nyingi na bei chee wengi walikimbilia ila mwisho wa siku ufanisi wake ni mdogo.

Hao wajanja wakaja na hiyo kukopa kwa mwaka mzima na kulipa kidogo kidogo.

Target kuu ni wale wasioweza kusave. Kwa malengo.
 
Kumbe? 😹😹😹
Twende tukakope iPhone 17 mahi tutokomee kusikojulikana..!!
Na umbea wetu mbona tutakamatika kesho tuu.... sema kianzio cha kukopa iPhone kinatosha kununua android phone kabisa 🤣🤣
 
Wakuu,
Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200. Mwaka ukiisha kalipia Tshs 872 K. Sijui hii imekaaje na mamlaka zinazosimamia makampuni haya wala zile zinazolinda consumers. Sababu hata benki hazitozi riba za kiwango hiki kwenye mikopo yao.
uzuri hawakuiti! Unajipeleka mwenyewe kwahiyo ukikamuliwa nyamaza!
 
Ni kwasababu watanzania wengi kuna dhana imejengeka ya kuona ukitoa laki 4 hapo hapo kununua simu unaonekana umetumia pesa nyingi sana kuliko kulipia kila siku 2000 kwa mwaka mzima

Yani hatuoni hasara kwenye bidhaa iliyonunuliwa kwa malipo ya awamu awamu kwa kipindi kirefuhata kama baada ya kumaliza mkataba total price itasoma mara 3 ya thamani halisi, huwezi kuona muhusika akiichukulia hiyo kama hasara kwasababu tu hakuitoa kwa pamoja.

Huku uswahilini utakuta mtu anaona kulipa 50K kwa ajili ya kodi ya eneo la biashara ni nyingi, lakini hapo hapo mwenye eneo akimtaka awe analipa kila siku 2,000 mtu huyo anaona fair na anakubali.

Sababu ni kwamba ile 50,000 anaitoa kwa pamoja hivyo anaona ni nyingi.

Watu wenye mindset hizi ndio unawaona wakipapalika na michezo ya kikoba nk.
Ni kwa sababu uwezo wetu ni mdogo, hakuna asiyetaka kununua cash ila uwezo ndio sababu. Kuna mtu ana uhakika wa 5k kila siku ila mtaji wake ni 50k tu. Mtu wa namna hii unataka akanunue simu ya 300k kwa pesa zipi, lazima aende kwa 2k kwa sababu ndio anayomudu.

BTW, vikoba vinasaidia sana watu wa hali za kati na chini, usibeze kabisa. Vikoba na michezo ndio inafanya watu wanunue samani za nyumbani, wajenge, wapeleke watoto shule. Anawekeza 5k per day, baada ya mda anakusanya hela zake anaendelea kuishi.
 
Biashara ni ubepari mkuu.
You take more than you give.
 
uzuri hawakuiti! Unajipeleka mwenyewe kwahiyo ukikamuliwa nyamaza!
Yaelekea Kwa wewe kama unafuga mbwa akaja chatu akamdanganya na harafu ya nyama, ili mradi mbwa wako atakuwa akiifatilia ile harufu huku akilia utamwacha aende hadi amezwe sbb "si kamfata mwenyewe"?😅😅
 
Yaelekea Kwa wewe kama unafuga mbwa akaja chatu akamdanganya na harafu ya nyama, ili mradi mbwa wako atakuwa akiifatilia ile harufu huku akilia utamwacha aende hadi amezwe sbb "si kamfata mwenyewe"?
 
Hakuna watu tumekuwa wezi na matapeli kama watanzania. Mtu anakopa ila kwenye kulipa ndio inakuwa mtihani.

Kuna fundi nilienda kutengeneza simu ndio nikaona anafanya hizo kazi za kutoa software ya mkopo na anafuta IMEI namba kabisa. Vijana wanajaa kabisa. Ni wizi kila sehemu
Hiki kitu kule india ndio michezo yao sana hadi wamegoma kukopesa simu aisee😄😁😁
 
Back
Top Bottom