Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

samahani wajamen naomben ushauri kidogo Nina Tz sh 600k nahitaji kununua simu ila katika kupita pita nmeona matangazo ya oppo a9 2020 yamenivutia kidogo ..ushaur wenu kwangu hi simu au campun ya oppo n nzuri au niachanenayo. Ina megapixel 48
Mkuu ni simu nzuri sana na imetengenezwa kwa wanaopenda simu zinazokaa na chaji sana. Battery kubwa la 5000mah na kioo chenye resolution ndogo cha 720p pamoja na processor isiokula chaji sana ya 11nm.

Ila kwa laki 6 parefu, hasa ukiangalia redmi note 8 ni around laki 3 mpaka 4 hivi.

Kama hujali kulipia premium sio mbaya unaweza chukua.
 
Wekeni mapicha ya hayo masimu tuyaone

Sent using Jamii Forums mobile app
oppo-a9-2020-3.jpg


oppo-a9-2020-1.jpg
 
Umeingia dip na nimependa hapa nadhani kupitia huu uzi tupeane darasa la kina, uwezo wangu wa uchambuzi umeishia hapo hivyo sijaona la ziada, naomba ufs n emmns sijui uzifafanue kwa kina.
 
Ivi Watu mna wezaje kutumia simu yenye storage 16gb



Au ni vile mimi ndo nilisha shindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nina Oppo mbili Realme2 ina 32gb Ram 2GB na 16GB Ram 2GB ,binafsi namanage kwa mambo yangu yote ... Alafu elewa nina model CP1803 na CP1805 ,, hizi simu ni poa kabisa ... Taka chukia nuna ila mimi siyumbi kwa maneno yako ila ukihitaji simu zenye uimara nunua Oppo ...
Unajua Oppo haianzii hapa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msauziya hio kweli ina ina features za kibabe kweli nimeikubali hebu weka bei za kibongo.
 
Back
Top Bottom