Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

Redmi note 8t na oppo a 9 zmepishana sehem chache sana...ila overall specs oppo a9 inakalisha redmi note 8t

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unazijua simu kweli?

A9 inatumia micro USB charging port xiaomi type C port
A9 ni plastic back, redmi ni glass back
A9 ni Gorilla 3 redmi ni gorilla 5
A9 hamna Ir blaster
A9 ni ghali kuliko note 8,

Zaidi ya battery 5000 mah, na ukubwa wa kioo 6.5 inch za A9, ni wapi OPPO inakalisha redmi note 8t

Nazijua simu vizuri kuliko unavyowaza..pia soma comments yangu ya pili ili kunielewa

Mbona husemi redmi inatumia Emmc mpaka leo?

Mbona husemi redmi inatumia 4.2 Bluetooth mpka saiz?

Mbona husemi redmi sio full stereo hadi leo hii?

Nimesema hizi simu zinapishana sehem ndogo sana...hivyo manunuzi au uangaliaji wa specs unatokana na mtu mwenyew matumiz yake na budget yake...

Mimi ukishakua na Emmc tu hata unifungie gorila glas protection ipi nitaona bado hujanitendea haki

Kuna mtu bila dolby bado hakuelewi..sasa naamini umenielewa...

Baadhi ya features A9 inaizidi redmi wala sikatai

Nakupinga unaoposema
micro USB kuwa inakalisha type c port phone,
Gorrila 3 ikaikalishe gorilla 5.
Non Ir phone ikaikalishe simu yenye Ir blaster?

Dolby has a lot to do with sound orientation, ni kitu kimoja, ila best sound driver ni kitu kingine pia, kuna simu kibao Zina Dolby lakini sound quality ni mbovu.
Xiaomi Zina best sound driver sijajua hiyo ya oppo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi upande wa picha inapiga vizuri then ina portrait au kawaida
Oppo ina potrait ya nyuma tu haina ya mbele mkuu mimi natumia oppo a3s asee ni simu nzuri sana haswa .... Ona picha yake
PSX_20190715_235103.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nawaona ndugu zangu bado mnaile kasumba ya kununua vitu kwa kuzingatia majina na sio specification.
Hio oppo ina tumia chip ya mediatek na mnayafahamu madhaifu ya mediatek, developer wengi hawadil nazo hivo, kuchelewa kupata update au kutokupata kabisa.
Nm12, ndio iliotumika hivyo huwezi ishindanisha na note 8 , Nm11imetumika.
Izingatiwe kadri namba ya Nm inavyozid ku ndogo ndipo ukaaji wa chaji na ufanisi wa kubrowse unavyoongezeka.
Oppo inatumia fast chaja ya ten watt ilhali note 8 inatumia 18watt.
Camera ya oppo ni dhaifu sana kwa hio ya note 8 japo zote ni 48mp.
Bei ya simu pia note 8 ni kuanzia laki tatu na hamsini elfu za Kitanzania na hio sijajua bei ila nahisi ni zaidi ya hapo.
Ir blaster ni kitu muhimu pia.
Hakuna cha ziada kinachoishinda note 8 sema mnanunua bidhaa kwa kufuata mkumbo .
Mkuu acha kukariri maisha usifikirie oppo zote zina chip ya mtk , mbona a9 uisemayo ina snapdragon 665

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MEDIATEK HAWEZI KUWA SIMU NZURI

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nakwambia siyo zote ni mediatek elewa hivoo , Oppo ana simu za aina mbali mbali pia ni kulingana na made in where build ,but most of series come with cpu - snapdragon such as realme , oppo a3s and all made in indian but made in china come with mediatek.
Screenshot_2020-01-27-10-49-15-24.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya features A9 inaizidi redmi wala sikatai

Nakupinga unaoposema
micro USB kuwa inakalisha type c port phone,
Gorrila 3 ikaikalishe gorilla 5.
Non Ir phone ikaikalishe simu yenye Ir blaster?

Dolby has a lot to do with sound orientation, ni kitu kimoja, ila best sound driver ni kitu kingine pia, kuna simu kibao Zina Dolby lakini sound quality ni mbovu.
Xiaomi Zina best sound driver sijajua hiyo ya oppo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema kama typ c imekalishwa na micro usb,sjongea hilo swala

Sasa unaweza foregone ufs kisa typ C? Au kisa gorila?

Ndiomana nikasema mwisho wa siku mtu mwenyew ataamua nini anajali kama ni fast storage au typ c au gorilla

Ila mimi siwez foregone fast storage kisa gorilla..

Na hiyo Dolby hapo ya a9 usidhani ni kimeo kiasi ikapitwa na redmi ..hilo swala halipo...stereo inayotoka hapo hiyo redmi haiwez toa...

Narudia tena hizi simu zimepishana sehem ndogo sana...ila mimi ukifunga emmc leo hii ni sawa na kuniwekea mtk tu alafu ukajaza feature zako zamagumashi ili unipige..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nawaona ndugu zangu bado mnaile kasumba ya kununua vitu kwa kuzingatia majina na sio specification.
Hio oppo ina tumia chip ya mediatek na mnayafahamu madhaifu ya mediatek, developer wengi hawadil nazo hivo, kuchelewa kupata update au kutokupata kabisa.
Nm12, ndio iliotumika hivyo huwezi ishindanisha na note 8 , Nm11imetumika.
Izingatiwe kadri namba ya Nm inavyozid ku ndogo ndipo ukaaji wa chaji na ufanisi wa kubrowse unavyoongezeka.
Oppo inatumia fast chaja ya ten watt ilhali note 8 inatumia 18watt.
Camera ya oppo ni dhaifu sana kwa hio ya note 8 japo zote ni 48mp.
Bei ya simu pia note 8 ni kuanzia laki tatu na hamsini elfu za Kitanzania na hio sijajua bei ila nahisi ni zaidi ya hapo.
Ir blaster ni kitu muhimu pia.
Hakuna cha ziada kinachoishinda note 8 sema mnanunua bidhaa kwa kufuata mkumbo .
Ndugu yangu kwanza kua mpole..

Hiyo oppo sio Mtk kama unavyodai ww,hilo sio kweli..ni chip moja na hiyo redmi note 8t

Pili husemi hiyo note 8t inatumia emmc wakati a9 ni ufs..hapa kweny storage hili ni pigo kubwa sana kwa redmi note 8t

Pia kweny sound a9 iko na dolby tena with stereo speaker...hiyo note 8t haiwez toa sound ya a9

Ukija kweny Bluetooth technology hiyo note8 iko na 4.2 wakati a9 tayar wako 5.0 huko

Alafu kua na architecture ndogo (nm) bila optimizition ni bure....umeongea kirahis sana kuhusu nm hapo juu

Alafu umesema zote zina megapixel 48,lakin a9 inapicha mbaya.. kwanini umestick kweny megapixel? Kwan megapixel ndio inatoa picha nzuri mkuu?

Hapa hatuongei kishabiki,mkuu ww ni team xiaomi damu,hamtaki kukubali wapinzani wenu wanafanya nini wakati hizi kampun zote ligi ndogo tu..

Wakati ww unaona ir blaster ni muhimu..hivyo hivyo kuna watu emmc wanaona ni uchafu wa kutupilia mbali...hasa 2020 hii ni aibu...

Jambo la maana ni kuchambua simu zote mbili bila bias..kisha mtu ataona yeye feature zipi anaweza foregone..zipi anaweza kwenda nazo..lakin sio kuita a9 mtk wakati sio kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema kama typ c imekalishwa na micro usb,sjongea hilo swala

Sasa unaweza foregone ufs kisa typ C? Au kisa gorila?

Ndiomana nikasema mwisho wa siku mtu mwenyew ataamua nini anajali kama ni fast storage au typ c au gorilla

Ila mimi siwez foregone fast storage kisa gorilla..

Na hiyo Dolby hapo ya a9 usidhani ni kimeo kiasi ikapitwa na redmi ..hilo swala halipo...stereo inayotoka hapo hiyo redmi haiwez toa...

Narudia tena hizi simu zimepishana sehem ndogo sana...ila mimi ukifunga emmc leo hii ni sawa na kuniwekea mtk tu alafu ukajaza feature zako zamagumashi ili unipige..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaizungumzia Ir blaster, ambayo kwa xiaomi ni standard feature toka note 5!

Sijawahi sikiliza audio output Kutoka A9, ila so far nafa hamu simu nyingi za kichina zipo weak Sana kwenye audio amplification, hata kama Zina Dolby.
Simu pekee ya kichina yenye Dolby atmos na sound driver nzuri niliyoikubali ilikuwa ZTE axon 7.

Ndio mana nikasema mwisho wa siku jamaa yeye mwenyew ataamua aforegone kipi,,hizi feature inategemea na mtu mwenyew...ukisema ir blaster, mwingine atasema ufs...sasa hapo kazi kwa mtumiaji....

Kuhusu hiyo Atmos mkuu unaweza chek review pia...still ni the best mana hata speaker ni full stereo..

OK, pamoja kwa leo tuishie hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom