Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

Oppo kampuni kubwa hazina matatizo kama samsung , Hivyo nakushauri ununue Oppo ... Realme model 1805 storage 32GB Ram 2GB, Oppo a3s Model 1803 16GB ,RAM 2GB .... Zote zinatumia processors Snapdragon 450nm
IMG20200128162117.jpeg
IMG20200128162137.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nawaona ndugu zangu bado mnaile kasumba ya kununua vitu kwa kuzingatia majina na sio specification.
Hio oppo ina tumia chip ya mediatek na mnayafahamu madhaifu ya mediatek, developer wengi hawadil nazo hivo, kuchelewa kupata update au kutokupata kabisa.
Nm12, ndio iliotumika hivyo huwezi ishindanisha na note 8 , Nm11imetumika.
Izingatiwe kadri namba ya Nm inavyozid ku ndogo ndipo ukaaji wa chaji na ufanisi wa kubrowse unavyoongezeka.
Oppo inatumia fast chaja ya ten watt ilhali note 8 inatumia 18watt.
Camera ya oppo ni dhaifu sana kwa hio ya note 8 japo zote ni 48mp.
Bei ya simu pia note 8 ni kuanzia laki tatu na hamsini elfu za Kitanzania na hio sijajua bei ila nahisi ni zaidi ya hapo.
Ir blaster ni kitu muhimu pia.
Hakuna cha ziada kinachoishinda note 8 sema mnanunua bidhaa kwa kufuata mkumbo .

Maswala ya watts yasiwachanye kama huna idea na umeme....unajua 18w at 5v ni 3A 😀 je ni kweli note 8 inaeza ingiza kiasi chote cha current kwa one hour!! ...kuanzia note 8 battery yake ni watts ngap em kazidishe volt na ampia zake ulete jibu
 
samahani wajamen naomben ushauri kidogo Nina Tz sh 600k nahitaji kununua simu ila katika kupita pita nmeona matangazo ya oppo a9 2020 yamenivutia kidogo ..ushaur wenu kwangu hi simu au campun ya oppo n nzuri au niachanenayo. Ina megapixel 48
OPPO simu nzuri sana ,tangu nimeanza kutumia sijawahi jutia bidhaa zao, wapo vizuri sana
 
Acha ujinga wewe, budget phones za oppo nilikuwa nazo mbili zina Qualcom processors.
Asante mwerevu zilikuwa na Ir blaster hizo oppo?, halafu si uzitaje kwa majina au zilikuwa zinaitwa oppo tu?

Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
 
Laki 6 nunua LG v40 au LG G7 mashine motooooo.

Dumelang
 
Asante mwerevu zilikuwa na Ir blaster hizo oppo?, halafu si uzitaje kwa majina au zilikuwa zinaitwa oppo tu?

Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
Ni matoleo ya mwanzo, hio IR blaster ndio umeona kitu cha maana cha kutambia humu ndani.
 
Acha ujinga wewe, budget phones za oppo nilikuwa nazo mbili zina Qualcom processors.
Kuna uzi nilisoma uliandika uliwahi kuibiwa simu yako ya oppo..vipi ulifanikiwa kuipata mkuu,na mie nimepoteza yangu
 
Ni matoleo ya mwanzo, hio IR blaster ndio umeona kitu cha maana cha kutambia humu ndani.
Nani anakutambia? Usidhan naipigia debe xiaomi kwa sababu Ninatumia hiyo, nilishaacha kutumia xiaomi, ila bado nazikubali kuwa ni simu timamu kwa bei nzuri, IR blaster Kama ingekuwa kitu cha kupuuza mbona Samsung Huawei na LG huwa wa naiweka exclusive kwa simu zao za bei ghali?

Nitajie midrange ya samsung au Huawei au hata oppo ambayo Ina IR

Nimetuma xiaomi toka Enzi za note 4x, note 5 niliiacha kutumia xiaomi baada ya kununua note 7, na kubaini kuwa ni nzito @190 grams,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekubali kua oppo ni machine kunarafiki angu mmoja anaitumia hapa inapiga picha Kali hazina ukungu..ila nimeongeza hela nimedaka Samsung a51 jaman hi simu ni nzuri sana hatakama n ghali
 
Back
Top Bottom