mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
Mtu anakwambia AC ya internetimekufa, mbona na line hazisomi sasa!!!!Hizo IC za internet wanazosema inaonyesha hawana uhakika kabisa. Simu ina Modem ambayo ndio inafanya Internet na voice.
Kama simu imekufa Main pcb inatakiwa wakuambie tu kuliko kukuchanganya na maneno ya layman.
Umejaribu simcard za mitandao yote TZ uone kama kuna itakayosoma? Pia jaribu kuweka simcard ambayo haina Pin code.
Kkoo bana sometime michosho sana.
Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app