Simu yangu ya samsung a 71 naomba msaada

Nilipeleka kwa fundi na wameona hila waliniambia hvyo
Huwezi kuwa na warranty kama umeigungua hata uende mahakama ya sharia. Hiyo bei waliokutajia utakuta ndio halisi hakuna warranty ya baada ya kutengeneza simu na kuifungua nje ya authorized dealer. Pole sana A71 ndefu.

Mimi situmii Samsung kwa sababu chache kama hizi
 
Mkuu nina uhakika Tatizo lilianzia hapo ilipoanza kufunguliwa hovyo hovyo na mafundi wetu hawa (umeshavoid warranty hapa) halafu zikiwashinda wanakukataa wanakwambia nenda samsung house! Hizi "simu latest" zinapokuwa released kama imezingua sio za kuwapelekea mafundi wetu hawa kabisa kwasababu wengi wao wanakuwa bado hawana uzoefu nazo, wanabahatisha tu kisa zinafanania kimuundo na nyingine walizozizoea. Hata iwe issue ndogo kama hujui au umecheck youtube ukaona iko nje ya uwezo wako kui-fix wewe mwenyewe ni bora upeleke kwa dealer tu. Yani hata iwe ime-encounter issue ya software/driver ukipeleka kariakoo wataifungua tu. Sina uhakika na hili, inawezekana uli-update manually na sio OTA then ika-encounter issue ya baseband/modem ukakutana na issue ya network halafu ukapeleka kwa fundi sijui aifungue kuichokonoa chokonoa na full kuipasha moto kwa sana tu unategemea nini hapo kama sio kuiua mazima 😆 I guess hata ulivyoenda Samsung wakashtuka ndomana wakakupa alternative hiyo ya kuingia gharama tena, otherwise labda na wao ni wapigaji wameona umehangaika nayo sana huna jinsi na ukute ni issue ndogo sana tu wakaona watafute loophole wakupige. Mkuu (Jaribu Ingia samsung mobile download stock firmware ya hiyo model number ya simu yako then uiflash through Odin) huenda ikasaidia kama issue sio hardware, ila kama ni hardware basi mafundi wetu hawa washaiharibu!
 
Mkuu nina uhakika Tatizo lilianzia hapo ilipoanza kufunguliwa hovyo hovyo na mafundi wetu hawa (umeshavoid warranty hapa) halafu zikiwashinda wanakukataa wanakwambia nenda samsung house! Hizi "simu latest" zinapokuwa released kama imezingua sio za kuwapelekea mafundi wetu hawa kabisa kwasababu wengi wao wanakuwa bado hawana uzoefu nazo, wanabahatisha tu kisa zinafanania kimuundo na nyingine walizozizoea. Hata iwe issue ndogo kama hujui au umecheck youtube ukaona iko nje ya uwezo wako kui-fix wewe mwenyewe ni bora upeleke kwa dealer tu. Yani hata iwe ime-encounter issue ya software/driver ukipeleka kariakoo wataifungua tu. Sina uhakika na hili, inawezekana uli-update manually na sio OTA then ika-encounter issue ya baseband/modem ukakutana na issue ya network halafu ukapeleka kwa fundi sijui aifungue kuichokonoa chokonoa na full kuipasha moto kwa sana tu unategemea nini hapo kama sio kuiua mazima I guess hata ulivyoenda Samsung wakashtuka ndomana wakakupa alternative hiyo ya kuingia gharama tena, otherwise labda na wao ni wapigaji wameona umehangaika nayo sana huna jinsi na ukute ni issue ndogo sana tu wakaona watafute loophole wakupige. Mkuu (Jaribu Ingia samsung mobile download stock firmware ya hiyo model number ya simu yako then uiflash through Odin) huenda ikasaidia kama issue sio hardware, ila kama ni hardware basi mafundi wetu hawa washaiharibu!
Issue ni IC ya internet het ,sasa sjui wanaporeplace
 
Dealer ukimaanisha jina la mtu au Wanaodeal na simu?
 
Niliupdate update ilivyokuja Yan nlipopewa notification qq
 
Huwezi kuwa na warranty kama umeigungua hata uende mahakama ya sharia. Hiyo bei waliokutajia utakuta ndio halisi hakuna warranty ya baada ya kutengeneza simu na kuifungua nje ya authorized dealer. Pole sana A71 ndefu.

Mimi situmii Samsung kwa sababu chache kama hizi
Pale samsung wamekaa kupiga Watu Yaan
 
Dealer ukimaanisha jina la mtu au Wanaodeal na simu?
Dealer namaanisha Samsung uliponunulia au dukani uliponunulia wakakupa warranty ndo watadeal nayo na sio wewe upeleke kwa fundi wako labda kama umenunua kwa mtu.
 
Hio laki 3 wanataka wakupige, hakuna kitu kama hiki eti Sababu simu ipo kwenye warranty ulipe laki 3. Kama Hilo tatizo lipo covered kwenye warranty hutakiwi kulipia hata sh 10, maana ya warranty ni nini? Na wao wameajiriwa kwa kazi gani?

Sijaangalia vizuri mkataba wa warranty ila kwa kutumia tu akili ya kawaida si kosa lako update ama simu yenyewe kupoteza network.

Kioo alikutengenezea nani? Kama sio Samsung wenyewe kufungua simu umeshavunja warranty bila ruhusa yao.

Sema unaweza ukapotezea, jifanye kama hujabadili kioo, tafuta namna waitengeneze bure si kosa lako Hilo.
Nami nilitaka nimuambie hivi! Hiyo laki tatu angepigwa!
 
Inaandika hvyo na hapo Juu inabaki alama ya line kutokusomaView attachment 1799769
Angalia kwanza kama baseband inasoma, kama inasoma bonyeza *#0011# harafu chagua sim 1 au 2 kuna page nyingine itafunguka screen shot uweke hapa ili kutambua kama iko poa cert.

Pia hakuna IC ya internet nina wasiwasi na hao mafundi wako. Huwa kuna IC kwa ajili ya network siyo internet.
 
Mkuu hiyo simu yako status ni Mipi device fail

Solution hapo ya kwanza ni kurebuild Nv

Na solution ya pili ni kuchange Usb port..hiyo inabeba signal board

Kwakua simu yako waliifungua am sure signal board imepata shida...kabadilishe hiyo usb port ufunge mkanda mpya...case yako itakua solved

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi ulivosimulia hapo ttzo ni hardware Na hizi A series zinacompications nyingi iwapo zikianza kugusa Maji ama kufunguliwa kienyeji the only soln nikupeleka kwa wataalamu la sivyo mafundi watu hawa watazidi kuichokonoa na kuzalisha ttzo jipya
 
Kama umeshindwa njia zote za watu humu, usijali.

Wewe kuwa mvumilivu tafuta mashine yake, hata kwa oda utapata kwa bei inayoeleweka.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Fundi alifanya hvyo hila bado ,kaniambia IC za internet zmekufa cjui
Hizo IC za internet wanazosema inaonyesha hawana uhakika kabisa. Simu ina Modem ambayo ndio inafanya Internet na voice.

Kama simu imekufa Main pcb inatakiwa wakuambie tu kuliko kukuchanganya na maneno ya layman.

Umejaribu simcard za mitandao yote TZ uone kama kuna itakayosoma? Pia jaribu kuweka simcard ambayo haina Pin code.
 
Back
Top Bottom