Inaonekana wew ni mpakuaji mzuri wa video za pilau,Y6 tecno mkuu
HaaaaTecno?
Mkuu kwenye simu yangu kuna hii app ya speed booster ambayo huwa inakuwepo humu humu kwenye simu,au nitumie app gani nzuri kwa kuclear?Clear cache za apps mbalimbali..
Usi clear data kama Kuna password hujazikariri basi itabidi uanze ku login upya na ku recover passwords au data zingine...
Angalia device ya cm kama haijajaaHusikeni na kichwa hapo juu.sijui tatizo ni nini? Inataka kudownload video za chini ya mb15.
Msaada maana napakua low quality tuu
Nenda setting then apps then anza ku clear cache hasa upande wa apps zile zinahusiana na video na app unavyotumia ku download videos..Mkuu kwenye simu yangu kuna hii app ya speed booster ambayo huwa inakuwepo humu humu kwenye simu,au nitumie app gani nzuri kwa kuclear?
Ok nikiingia kwenye apps then naclick app husika za kudownloadia then kwenye CLEAR CACHE? Sasa mbona kipengele hiki kinagoma ukiclickNenda setting then apps then anza ku clear cache hasa upande wa apps zile zinahusiana na video na app unavyotumia ku download videos..
Ndio unaingia kwenye app husika then unasikilizia i load hivi hiyo option ya clear cache itakuwa highlighted then una tap hapo...Ok nikiingia kwenye apps then naclick app husika za kudownloadia then kwenye CLEAR CACHE? Sasa mbona kipengele hiki kinagoma ukiclick
Ok nashukuru kiongozi.ngoja nijaribuNdio unaingia kwenye app husika then unasikilizia i load hivi hiyo option ya clear cache itakuwa highlighted then una tap hapo...
Kama inazingua itakuwa Kuna apps uliinstal zikaenda ku tibua default settings so second option hapa itakuwa ni ku restore hiyo simu..
Unachotakiwa hapo ni kunote down apps zako muhimu, credentials za hizo apps kama zinahitaji username na passwords..
Pia google email address ambayo unaitumia humo na password uzikumbuke ili baadae isije kuwa issue tena ya FRP(factory reset password) Ikatokea..
Kisha restore..
Ok nashukuru kiongozi.ngoja nijaribu