Simu yangu imegoma kusoma USB

Simu yangu imegoma kusoma USB

kwetugt

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
297
Reaction score
293
Kama maada ilivyo hapo juu nina simu yangu Huawei ascend g7, niko nayo kwa mda wa miaka mitatu ilikua ikisoma usb cable mara tu nichomekapo kwa kifaa kingine ajabu imeacha kusoma yapata mwezi sasa nigeomba kujua labda kunasehemu nimeshalikologa si unajua simu kubwa mambo mengi.
 
huenda ikawa hyo data cable connector imekuwa partial demaged
 
Hapana mkuu najaribu kwa simu nyingine inasoma
 
ok sory nilimaanisha hapo unapochomeka chaji kwenye cm au wengne huwa wanaitaja km charging system
 
Back
Top Bottom