Simu ya wife


Mkuu unabusara sana na kichwa chako kinafanya kazi vilivyo.
 
ukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri
Utakuta Huyo mwenye namba ana UKUNI balaa ndo' maana mke kanasa..
 
Kha! Yani hapo hata sina ushauri. Yani ni sawa sawa mambo yamemshinda professa, sasa anahitaji mtoto wa form one amsaidie. Ni sheedah! Muombe Mungu wako akufunulie cha kufanya. Unaweza uka muimplicate huyo Omari kumbe wife tu ndio kajichanganya na wara huyo Omari wala hana time na mke wako.
 
Taasisi ya ndoa ni mtihani mkubwa sana. Muite bila woga akupe majibu ya kutosha, otherwise mpeleke kwao kabla hajakuunganisha kwenye grid ya taifa.
hapo ni sawa kabisa i must quit inakera sara sana kwani hakosi chochote! nafikiri labda sio wife material by nature!
 

Ha ha ha haa unajiumiza bure. Unadhani akimsave vibaya mfano aamsave jambazi ndoo atamuacha?
 
umejitakia mwenyewe, ulitumwa, muone vile sikupi ushauri maana umetaka mwenyewe nilishasema simu ya mke/mume/mchumba si yakushika utakufa mapema kama ebola. sasa hapo umevunja ndoa yako wewe mwenyewe na si mwingine. K na mb zipogo.
 
Mkuu ndio ushaa megewa ivo kwa vile huyo jamaa anatumia line ya Tigo na wewe mtigolize tu!duuh kumegewa ina uma sana mkuu...
 
Mtupie makonde mawili, sukumizia ndonga angalau 3 na mashuti si haba then kaa nae chini akupe udaku, km majibu si ya kuridhisha MPOTEZE.
 
Pole sana mpendwa mwombe mungu akujalie maamuzi yenye busara
 
inasaidia kujua kama kilichompeleka ni genye tu au ndio kesha fall jumla jumla....

Si unaona hapa tunapata shida kumtuliza mleta thread kwa kuwa mamaa ametumia neno zito 'mume wangu'...


Ha ha ha haa unajiumiza bure. Unadhani akimsave vibaya mfano aamsave jambazi ndoo atamuacha?
 

Mkuu bora ukae kimya maana ninavyokusoma ukimuuliza anaweza kukushushia kichapo cha kufa mtu, unanshangaza sana mwanaume kutokuwa na maamuzi kiasi cha kuchanganyikiwa..weak!weak!
 

mkuu hivi unawajua wanawake akipata hawara anayempa kiburi au unawasikia kama hayajakukuta omba mungu yasikukute ndugu yangu , kuna braza angu mpaka leo hajaoa maana baada ya kugundua mengi ya mkewe alinrudia mungu, lakini malipo hapa hapa duniani, ushauri kwa mtoa mada kuwa mvumilivu , kunywa maji mengi, japo msosi hautopanda kwa mwezi mmoja, jichanganye kwa watu ..kuwa bize tu wapende wanao ikipita miezi mitatu utapata maamuzi sahihi ila magumu..
 
mkuu kufall kwa hawara daah haya mapenzi ya kisasa shida tupu ,mtoa mada hawa viumbe wetu ni wakuishi nao kwa umakini sana , mkuu coz hawaeleweki kama kabisa, ukiwa na moyo mwepesi wanaweza kuharibu maisha ukaishia jela, sasa hivi usimuulize coz kipindi hichi anaweza akakejeli , kwa maneni kama na ww mwanaume katika wanaume au kwetu cjaua narudi kwetu nk, ww muache tu kwa mda kama wa miezi mitatu hata k usipige then cku umuite umuulize taratibu . NB;;;NB;;;;NB;;;;;KASHAKUA ADUI YAKO TU ALIYE KUZALIA WATOTO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…