King'astu hii court yangu inaonyesha ni level ya juu sana ya usaliti,ana mume then kuna mwingine anaitwa mume?just imagine hata wewe mume wako ukute jina la My wife?Ni bora ange save hata fundi magari,dalali au hata uncle AllyLabda ndio jina la huyo ndugu la utani bwana. Relax ufurahie maisha. Na weww ficha simu yako ili ufurahu
Red===Una uhakika? Kwani mapenzi ni ujinga? Amependa na amekuwa mkweli na inawezekana sisi tunaoona kuwa amefanya kosa ndiyo wajinga. Usisahau chumba kina kuta nne ndo zinajuwa matatizo ya wanandoa ikijumuishwa na panya wanaolala katika mtambala panya hasa katika nyumba zetu huku kusini zisizo na silingibodi. Usisahau sie wanaume ambao siriojali tunavyojua kusingizia matendegu ya vitanda kuwa yanakata sitimuWatu tukiamua kuacha kuoa na tukawa mabazazi watu wanatulaumu.
Matukio kama haya na mengine mengi nayoyajua yanazidi kuipa nguvu hoja yangu ya kutokuoa.
Huyo mwanamke muache,haina maana kuishi na mwanamke mjinga namna hiyo.
kwani kibamia kina tatizogani miss?
Miss Chagga una la kujitetea mpaka hapo?Atakuwa Miss Chagga huyooo, anavyokushupalia labda msagaji mwenzie hahahahaaaa
ukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri
kabla ya ndoa hakukiona?
Ni mtihani hakika.Taasisi ya ndoa ni mtihani mkubwa sana. Muite bila woga akupe majibu ya kutosha, otherwise mpeleke kwao kabla hajakuunganisha kwenye grid ya taifa.
Ni mtihani hakika.
Usije shangaa kukuta huyo mume alishawaunganisha kitambo kwenye hiyo gridi,mke anamalizia tu.
Kabla ya ndoa atakionaje tena, kwani huwa mnafanyaga kabla ya ndoa?
nawaza kwa sauti tu, vipi ww ndio ungekuwa mke wa jamaa alafu ndo ukajua amekupekua simu nadhani na vibao ungemtwanga maana ulivoandika kwa hasira!!
Watu tukiamua kuacha kuoa na tukawa mabazazi watu wanatulaumu.
Matukio kama haya na mengine mengi nayoyajua yanazidi kuipa nguvu hoja yangu ya kutokuoa.
Huyo mwanamke muache,haina maana kuishi na mwanamke mjinga namna hiyo.
Miss Chagga una la kujitetea mpaka hapo?
Red===Una uhakika? Kwani mapenzi ni ujinga? Amependa na amekuwa mkweli na inawezekana sisi tunaoona kuwa amefanya kosa ndiyo wajinga. Usisahau chumba kina kuta nne ndo zinajuwa matatizo ya wanandoa ikijumuishwa na panya wanaolala katika mtambala panya hasa katika nyumba zetu huku kusini zisizo na silingibodi. Usisahau sie wanaume ambao siriojali tunavyojua kusingizia matendegu ya vitanda kuwa yanakata sitimu
Atakuwa Miss Chagga huyooo, anavyokushupalia labda msagaji mwenzie hahahahaaaa