Wadau naombeni mnisaidie, hivi ni sahihi kwa mwanaume/mwanamke kupekua cm ya mke/mume, girlfriend/boyfriend, mchumba wake? :sleepy:
Kwa usalama wa afya yako na ulinzi wa watoto na vyombo vya thamani,,, usipekue simu yake.
Kwa wapenzi waaminifu, pekua simu yake maana ni fahari ya zawadi waliokosa wengi.
mpenzi pekua coz mnaweza kuachana kama utakuta anachepuka ila mume usipekue coz utakaa kwenye ndoa ukiwa na machungu moyoni
Wadau naombeni mnisaidie, hivi ni sahihi kwa mwanaume/mwanamke kupekua cm ya mke/mume, girlfriend/boyfriend, mchumba wake? :sleepy:
Mimi huwa napekua tu. liwalo na liwe
Unapekuaga?
sina mtu ambae anaweza kunioa mpaka sasa juu ya hili swala
HIVI TUNASHEAR MAJIMAJI YA MWILINI IWE SIMU????
Unapekua ukiwa unatafuta nn???