Simu ya mke au mme

Simu ya mke au mme

Kuwa jasiri ndugu! pekua ili kujua mstakabari husika ili uweze kusuka au kunyoa kabla ya mabo kuharibika. Vunja ukimya zungumza na mwenzio. Kuwa makini katika hilo
 
Kwa mume na mke usahihi upo kabisa kwa ndoa yenye amani na upendo hakuna wasiwasi....



Ila kwa wachumba inategemea na misingi ya penzi leo na malengo yenu ya baadaye...


Kwa boyfrend na girlfriend siyo sahihi maana bado mapema sana lakin sio mbaya kama wataaminiana...

mwingine anataka ashike ya mwenzie ila ya kwake kaweka password
 
Mke na Mme ni sawa kabisa kuangalia mkiwa guru kabisa,lakini sio kuweks ratiba ya kupekua pekua sio sign nzuri kwa wanandoa kwani inaonyesha hamuaminiani ktk mahusiano yenu ya ndoa
 
da sitakaa nisahau nilishika cm ya aliekua mchumba wangu nilitukanwa hakuna mfano.
naambiwa cm ina siri nzito sitakiwi kuigusa na hakuna mwanamke yeyote yule atakaekuja kushika cm ile.. dah nilitukanwa sitakuja kusahau mungu amsaidie tu huko aliko.
 
sina mtu ambae anaweza kunioa mpaka sasa juu ya hili swala

HIVI TUNASHEAR MAJIMAJI YA MWILINI IWE SIMU????

Khaaa! Japo kuna ukweli, simu nini bana..! Watu wanashare "ute ute" iwe simu bana!!
 
da sitakaa nisahau nilishika cm ya aliekua mchumba wangu nilitukanwa hakuna mfano.
naambiwa cm ina siri nzito sitakiwi kuigusa na hakuna mwanamke yeyote yule atakaekuja kushika cm ile.. dah nilitukanwa sitakuja kusahau mungu amsaidie tu huko aliko.

..duuh, sasa huyo mchumba mliachana wakati ashajulikana na kufanya kila zote au ni uchumba wa 'darisalama'?
 
Mimi naona Ni fahari kubwa na Ni kitu cha kujivunia kupekua cm ya mkw wangu na yeye yuko huru kuangalia yangu. Kwa nini ujifiche huko Ni kukosa uaminifu na mapendo kwa familiar yako

saaaf...!!
 
Back
Top Bottom