LADY H
Member
- Nov 26, 2011
- 57
- 18
- Thread starter
- #81
Heheheeeeeeeee shost umenikumbusha mbal sana....mpenz wang wakwanza ck nlishikaa cm yake nkakuta msg ya mwanamke akaniambia iyo moja tu nikuoneshe na nyingine....nmekoma na ctorudia
Duuu huyo mpenz wako kiboko, bora ungetulia nalo moyoni ucmwambie ulichokiona