Ikitokea nitafanya hivyo. Ila siombei hiyo soo!
ni story ndefu ndugu kifupi alikua mchumba kabisa na mahari alitoa.
si ndo hapo bwana
mi simu sifichi mimi
mi sio MZINZI
Inbox empty
Sent msg empty
Incoming call empty
Outgoing call empty
Missed call empty
Mtu kama huyo ukipekua simu yake unapata hasira tu
mim napekua lakin yangu sitaki ipekuliwe
Siku nikiwa najisikia kugombana ndo napekua na huwa sikosi sababu y ugomvi...
Ila siku nikiamua amani itawale sishiki simu yake wala simruhusu kushika yangu....
Ukiona huombei ujue hutoweza kufanya hivyo
da sitakaa nisahau nilishika cm ya aliekua mchumba wangu nilitukanwa hakuna mfano.
naambiwa cm ina siri nzito sitakiwi kuigusa na hakuna mwanamke yeyote yule atakaekuja kushika cm ile.. dah nilitukanwa sitakuja kusahau mungu amsaidie tu huko aliko.
We masai dada wewe! Mna-share ile kitu namesa mensake, itakuwa simu! Kweli ndito mrembo. Ila jiandae kwa magonjwa ya mishipa damu, usimfuatilie alacho kuku, wala maji ya kumwagilia mchicha, utakufa kwa utapia mlo.sina mtu ambae anaweza kunioa mpaka sasa juu ya hili swala
HIVI TUNASHEAR MAJIMAJI YA MWILINI IWE SIMU????