Simu ya mke au mme

Simu ya mke au mme

Siku nikiwa najisikia kugombana ndo napekua na huwa sikosi sababu y ugomvi...
Ila siku nikiamua amani itawale sishiki simu yake wala simruhusu kushika yangu....

yaani ww kama mimi tena ujue sikuhiyo ujue na shida ya hela nyingi kwa hiyo natafuta chanzo ili anipe kunipoza
 
We masai dada wewe! Mna-share ile kitu namesa mensake, itakuwa simu! Kweli ndito mrembo. Ila jiandae kwa magonjwa ya mishipa damu, usimfuatilie alacho kuku, wala maji ya kumwagilia mchicha, utakufa kwa utapia mlo.

tatizo nalotaka kujua UNAFICHA NINI???
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye RED ndio habari yote

Usiniprove wrong...tatizo mtu akitia nia ya ugomvi hakosi sababu...
Hata mashosti naweza kuulizwa nliongea nao nini.....sasa kisa cha kuvuruga amani ni nini? Kila mtu na simu yake.....!
 
Usiniprove wrong...tatizo mtu akitia nia ya ugomvi hakosi sababu...
Hata mashosti naweza kuulizwa nliongea nao nini.....sasa kisa cha kuvuruga amani ni nini? Kila mtu na simu yake.....!

Nimependa hili wazo lako Kila mtu na simu yake.....!
 
tatizo nalotaka kujua UNAFICHA NINI???
Hata kama ni mpenzi/mume, ana faragha yake. Heshimu faragha ya mtu. Hata wewe kuna mambo ambayo unataka yabaki yako tu, si kila kitu una-share na mpenzi/mume. Mahusiano hayanyang'anyi ile wewe kuwa wewe, hayakufanyi ujiingize kwenye nafsi ya mtu mwingine au mwanamme kujiingiza kwenye nafsi yako(kama we ni 'ke). Ndoa za wazee wetu zilidumu sana,si kwamba hakuna michepuko, bali walifunzwa namna ya kuepuka mambo yanayoweza kuharibu ndoa. Babu yangu aliwahi kunifundisha kuwa,mwanamme wakati wa kurudi nyumbani jioni, usinyate/usivizie wala kusikiliza kwanza yanayozungumzwa. Alinishauri niwe na kiashiria fulani kwamba baba anakuja, mf kuimba,kupiga mluzi,kikohozi nk, zunguka maeneo ya nyumbani kwako kabla ya kuingia ndani.
 
wife alikuwa anapekua akanifumania kwa sms zaidi ya Mara alafu na mademu tofauti sasa hivi hamu imemuisha. ingawa yake nacheki ila yangu spidi imekuwa 10 toka 100
 
kama unaogopa kupekua sim yake kwa kuhofia matatizo' basi inakubidi pia usimuhoji kwanini kachelewa kurudi.
 
Simu ni yake, unapekua kutafuta nn? Yaliyomo humo yanamuhusu yeye kama kuna yanayokuhusu atakwambia na kama hajakwambia achana nayo!
 
Kwa usalama wa afya yako na ulinzi wa watoto na vyombo vya thamani,,, usipekue simu yake.
Kwa wapenzi waaminifu, pekua simu yake maana ni fahari ya zawadi waliokosa wengi.

Very true
 
ni sahihi ndio. kama mnashare vikojoleo kwann mshindwe share simu. tena pekua kama yako vile.
 
da sitakaa nisahau nilishika cm ya aliekua mchumba wangu nilitukanwa hakuna mfano.
naambiwa cm ina siri nzito sitakiwi kuigusa na hakuna mwanamke yeyote yule atakaekuja kushika cm ile.. dah nilitukanwa sitakuja kusahau mungu amsaidie tu huko aliko.

Heheheeeeeeeee shost umenikumbusha mbal sana....mpenz wang wakwanza ck nlishikaa cm yake nkakuta msg ya mwanamke akaniambia iyo moja tu nikuoneshe na nyingine....nmekoma na ctorudia
 
Hiki ni chanzo kizuri cha sukari, moyo, presha, frustrations na mwishowe depression!
 
Wadau naombeni mnisaidie, hivi ni sahihi kwa mwanaume/mwanamke kupekua cm ya mke/mume, girlfriend/boyfriend, mchumba wake? :sleepy:

!
!
kiuwazi simkatazi demu kuangalia simu yangu japo simshauri pia kuipekuwa, na pia ya kwake siigusi. Ila nikipataga nafasi kidogo bila yeye kujua napekuwa yake na nitakalolikuta simwambii wala nini ila litanipa mwelekeo wa maisha ya mbele kama kujiandaa najiandaa au kama kurelax narelax. Hainaga kupanic eti nyokonyoko hakunaga hiyo
 
Back
Top Bottom