Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Dah... kuna mwenye hiyo dole gumba inayopiga mzigo aniuzie,
Mchicha tupa kuleee
Hiyo dole gumba bado ninayo na inapiga mzigo vizuri tu japo betri imeanza kuzingua. Hii nitaiweka kwenye makumbusho yangu maana ndio simu yangu ya kwanza kuimiliki.