Simu ya mchina

fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,868
882
Wanajanvi kilichonitokea leo sijaamini macho yangu nimeona simu yangu ya kichina ya nokia itoa moshi mfukoni jamaa yangu kaniambia, mwanangu uweweka fegi mfukoni hujanyunda vizuri nikawa nashangaa mfuko unatoa moshi kutoa naona simu imeandika maneno mekundu ya kichina nimeitupa na cjui imelipuka ama vip. HIZI BIDHAA FEK CHANZO CHAKE TANZANIA NI NIN?
 
Dah ama kwel hyo kchna zaid, pole sana, nadhan kuna kila sababu ya kujiuliza!
 
Wanajanvi kilichonitokea leo sijaamini macho yangu nimeona simu yangu ya kichina ya nokia itoa moshi mfukoni jamaa yangu kaniambia, mwanangu uweweka fegi mfukoni hujanyunda vizuri nikawa nashangaa mfuko unatoa moshi kutoa naona simu imeandika maneno mekundu ya kichina nimeitupa na cjui imelipuka ama vip. HIZI BIDHAA FEK CHANZO CHAKE TANZANIA NI NIN?
Ni serikali dhaifu kabisa ya CCM!
 
Hahaha over heating? Wa tz hatosi sababu. Over heating ni matokeo tu. But issue ni viwango tu TBS. Wamelala tu
 
kama ulijua ni feki na ni yamchina kwa nini uliinunua? kwanini usichukue cha tochi tu safiiii kanokia ka midcom, siku zote nawaambieni humu jamani tusitegee serikali na tbs yao kuzuia hii kitu, bali sisi wanunuzi ndo tupeane taarifa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kuhusu maduka,bidhaa na chochote kinacho husu ufeki ili tugomee kuvinunua, basi wao wenyewe wataacha kuviingiza, ila tukisema tuitegemeee tbs na serikali yake basi mjue tutakufa vibudu, sasa mkuu hapo je ungekatika mguu au kupatwa na madhara makubwa yoyote yale eti kisa simu ya mchina ya tsh30 elfu. hayaaaa, na sikuizi wametoa boxer na bikini za kichina watu tutawaka nyeti sasa
 
Ni kweli serikali dhaifu ya CCM ndo iliyomshauri na kumpa pesa za kwenda kununua simu fake....
Hapana, ni serikali dhaifu, ya wezi, vibaka na mafisadi ambao wameshindwa kudhibiti uingizwaji wa bidhaa za kughushi toka mashariki ya mbali, bidhaa zinazowasababishia hasara kubwa na madhara watanzania. Kwa hakika hii serikali ni dhaifu na labda hatutapata serikali nyingine dhaifu kama hii, hebu fikiri; wana polisi, wapelelezi, intelijensia, majeshi ya ulinzi na usalama, TBS, na kila kitu cha kufanyia kazi; lakini wameshindwa hata hili rahisi la kuwadhibiti vibaka wenzano waliokuwa wakichakachua mafuta ya diesel na petroli kwa kuyachanganya na badala yake wamepandisha bei ya mafuta ya taa yaliyokuwa yakiuzwa 700/= hadi 2000/= sawa na Petroli! Down with CCM
 
Sina cha kuongezea hapa!!
 
Hizi nakumbuka ndo zina tabia hizo

220px-Siemens_A50.jpg

220px-Siemens_C35.jpg
 
Wanajanvi kilichonitokea leo sijaamini macho yangu nimeona simu yangu ya kichina ya nokia itoa moshi mfukoni jamaa yangu kaniambia, mwanangu uweweka fegi mfukoni hujanyunda vizuri nikawa nashangaa mfuko unatoa moshi kutoa naona simu imeandika maneno mekundu ya kichina nimeitupa na cjui imelipuka ama vip. HIZI BIDHAA FEK CHANZO CHAKE TANZANIA NI NIN?

Chanzo ni uwepo wa wateja kama wewe.....
 
Bidhaa feki zina sura tofauti. Kwanza kuna ndugu ambao ni adicted kwa hizi bidhaa, hao wengi wao ni wale ambao walikuwa na maisha duni during their strugle for life hivyo iliwabidi kutumia bidhaa cha bei rahisi kupata maximum satsfaction, lakini baada ya kufanikiwa wameshindwa kuona tofauti ya android ya kichina na halisi.
Pili ni wale ambao ,aisha yao ni duni kwa ujumla lakini wanapenda kuishi katika dunia ya kisasa hivyo wananunua simu yenye vitu vyote vya kisasa kwa bei ya chini hawa huwezi wazuia bila ya kuzuia bidhaa hizi zisiwafikie.
Hivyo kila mmoja anatakiwa acheze sehemu yake.

Wewe wa kundi la kwanza Tubadilike jamani mimi ni maisha ya kati toka ya chini lakini nimeapa sinto nunua simu ya kichina namaanisha hizi feki, lakini kuna jaamayangu mwenye kipato kizuri anamiliki gari anaweke mafuta kilasiku na anaweza kuhonga hata laki lakini ana tumia simu ya kichina.
Wale wa kundi lapili ni serikali na taasisi zake pekee ndio wanao weza kuwaokoa kwa kutimiza wajibu waao.

Nishawahi kuongea na mfanyabiashara mmojo kariakoo akaniambia kuuza bidhaa feki ''famba'' inalipa zaidi kuliko bidhaa halali. Hivyo wanao enda china wanenda kutafuta bidhaa feki kwa dhati kabisa kwani ndizo zenye biashara TZ kuliko bidhaa halali.

My take : play your part it can be done.
 
Kunasiku nilisikia kuna jamaa kaungua sikio lote la kulia kisa simu ya kichina ililipuka. Nikajua si kweli sasa ninaamini jamani simu za kichina mengine ni mabomu sio simu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom