Simu simu simu

Simu simu simu

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Hii simu nokia n79 original inauzwa tsh ngapi nijuzen wapendwa naitamani
 
Nokia n97 dukani mpyaa ni laki 7 inategemea na shop pengine hadi laki6.5 Mimi ninayo the original fika bei nikuachie mzigo mzeeee
 
mi nnayo mpya kabisa ina tochi kalkuleta ala kioo cha rangi bei 22550
 
Duuh bora uwah dukani mkuu. Hapa utapata vinokia vya tochi tu.
 
Nokia n97 dukani mpyaa ni laki 7 inategemea na shop pengine hadi laki6.5 Mimi ninayo the original fika bei nikuachie mzigo mzeeee

mkuu nimeulizia n79 sio n97
 
Watu wengine bana, akili zao zinawatosha wao tu na sarawili zao.
 
nilitaka kukutajia bei tatizo ipo kwny udaku.
 
Back
Top Bottom