Simu simu simu

Simu simu simu

Kweli umejichanganya,umeiweka kwenye jokes,na wadau wanakujibu jokes.
 
Mi nnayo ina; baa, garage, hotel, jino la bluu, tii vii, umanja wa mpira/basketi na futboli, TANESCO, Biligeti, kanisa na mosque. Bei cheap tu kama Mil 12.88'
 
Mmh.!? Hayo majibu hapo juu, mwenyewe atakoma kuuliza tena
 
Back
Top Bottom