Simu na Mahusiano

Maana yake ni kwamba usihangaike sana wala usisumbuliwe na hizo simu maadamu una mumeo ndani hayo mengine just ignore

Ok, kama uko na huyo mume (kama statu tuu) yani unaona kabisa hana feelings na wewe kabisa hapo pia ni ignore!
 
Mbuu ndugu yangu, asante kwa ushauri. Ila methali yako au niseme msemo wako sijui, wala sijauelewa kakangu. Hebu nifafanulie mweee!

...haya mama, nitakujibu kama mwenyewe ulivyouliza...
...jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana.
My hubby anatabia ya kutopokea simu sometimes
...cmu yake inaweza kuuita kwa mda mrefu bila yeye kupokea.

...umeelewa mpaka hapo?... tabia haiwi tatizo mpaka uifanye ni tatizo.

Je nivema kuwa namuuliza kuwa ni nani au je ni vipi watu huu behave wanapoishi wawili katika maswala ya simu. Maana sipendi kukwazika na sipendi kumkwaza pia.

...Jibu lake unalo, maana tayari ushatuambia;

...hasemi ni nani anakaa kimya tuu! Ila kwa investigations zangu mara nyingi huwa ni rafiki zake wa kiume.

...'...kelele za mlango zisikunyime usingizi', chukulia kwa nilokunukuu, mwenyewe ume admit kwa investigation zako mara nyingi simu ni za rafiki zake wa kiume, sasa Aunty unataka kujiudhi kwa nini maamuzi yake ya kutokupokea? Kuna mwenzako humu yeye mumewe harudi nyumbani mpaka apigiwe simu, ...wewe wako kajituliza nyumbani unakereka hapokei simu, ...labda hataki/wanamlazimisha kwenda 'vikaoni' je?!
 
Ok, kama uko na huyo mume (kama statu tuu) yani unaona kabisa hana feelings na wewe kabisa hapo pia ni ignore!

...:eek: ehh, haya mapya!
 
hapo sawa Aunty! mambo yako ni yako ila uwe na marafiki maana huku nchi za watu naelewa maisha yalivyo,upweke n.k.

kuwa na marafiki maana na wewe unaelewa vizuri tu mambo haya.
 
Za leo wa ndugu, naomba kuuliza je ni fanye nini na tabia ya mume wangu kuhusu simu(mobile phone) Kwa kweli ni jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana. My hubby anatabia ya kutopokea simu sometimes, yn cmu yake inaweza kuuita kwa mda mrefu bila yeye kupokea. Then, hasemi ni nani anakaa kimya tuu! Ila kwa investigations zangu mara nyingi huwa ni rafiki zake wa kiume. Je nivema kuwa namuuliza kuwa ni nani au je ni vipi watu huu behave wanapoishi wawili katika maswala ya simu. Maana sipendi kukwazika na sipendi kumkwaza pia.

jamani mambo ya simu haya! rafiki yangu yalimpata ya kumpata, mume karudi kutoka ofcn kaingia bafuni kuoga, mke akaona simu ya mume inawaka taa tu, mume aliweka simu yake silent, kumbe ni mdada anaitwa mume kasave rashidi ujenzi! mke kafungua msg kasoma" darlin nimeshafika hotel njoo room no206 nakusubiri" mke akaijibu "nipo home na wife yupo sasa usitumie no hii tumia hii" akampa no yake, na akafuta ile msg kwenye simu ya mume,mwanamke kule ana chart anajua anachart na huyo darlin wake kumbe anachart na mke, mume katoka bafuni kaendelea ku watch movie mke akamwambia natoka kidogo! straight hotel aliyoambiwa, kufungua mlango ni rafiki yetu wa kufa na kuzikana, wanawake sisi puuu,yaliyotokea hapo ni marefu........
 
Duh naona palikuwa patamu, ndo maana kwenye mada yangu nilisema sipendi kufikia huko...nilitaka tuu kumuelimisha na huko kutokupokea simu kwake kunaponikwaza. Maana ukimchunguza bata sana hutamla. I think mpaka hapa nimeelimika sana na hizi simu. Asanteni sana.
 
jamani mambo ya simu haya! rafiki yangu yalimpata ya kumpata, mume karudi kutoka ofcn kaingia bafuni kuoga, mke akaona simu ya mume inawaka taa tu, mume aliweka simu yake silent, kumbe ni mdada anaitwa mume kasave rashidi ujenzi! mke kafungua msg kasoma" darlin nimeshafika hotel njoo room no206 nakusubiri" mke akaijibu "nipo home na wife yupo sasa usitumie no hii tumia hii" akampa no yake, na akafuta ile msg kwenye simu ya mume,mwanamke kule ana chart anajua anachart na huyo darlin wake kumbe anachart na mke, mume katoka bafuni kaendelea ku watch movie mke akamwambia natoka kidogo! straight hotel aliyoambiwa, kufungua mlango ni rafiki yetu wa kufa na kuzikana, wanawake sisi puuu,yaliyotokea hapo ni marefu........

...mshamba tu huyo, si angesema kakosea namba?
 
Mbona limekugusa mbuuuu! ndo hivyo tena mwaya arubaini zake zilimfika.

...:D yeye anakula vya watu mpaka ananogewa bwana, hajifuti hata midomo. Remember; the 1st rule ukifumaniwa -Deny! Deny! Deny!
 
...mshamba tu huyo, si angesema kakosea namba?

Mbu mshtuko, cha kuibia ni chakuibia tu, palikuwa hapatoshi siku hito, na mume huko home hana habari, mke karudi home hajamuambia lolote mume mpaka mume kayasikia kesho yake ofcn hukoooo, alihamaki.
 
Mbu mshtuko, cha kuibia ni chakuibia tu, palikuwa hapatoshi siku hito, na mume huko home hana habari, mke karudi home hajamuambia lolote mume mpaka mume kayasikia kesho yake ofcn hukoooo, alihamaki.

...huyo mrembo kaonewa tu huko Hotelini... umesema msg yake ilisema;

"darlin nimeshafika hotel njoo room no206 nakusubiri"

...hata baada ya kichapo na msukosuko wote huo;
mume huko home hana habari, mke karudi home hajamuambia lolote mume mpaka mume kayasikia kesho yake ofcn

...huyo mke mgomvi tu, hakushitakiwa kwa GBH? naona ka overreact kwa family friend wenu, BTW huyo mume HAKUWA NA HABARI ....i.e mume angejua huo mpango wa kukutana hotelini, angefuatilia siku hiyo hiyo!, hao "wagoni" bado wapo Innocent until proven Guilty! :D
 
Shosti, sasa nikiwa mbogo ntawapata na hao mashoga! Cha msingi mimi naona ni heri niendelee kuwa kivyangu vyangu au nitafute mashoga walioko kwenye ndoa zao pia. Au sio! Maana thio thiri mimi toka nyumbani sipendi mashoga na nikiwa naye si shey naye mambo yangu ya ndani. Au vipi shosti belinda!
AO,
Chunga sana mashoga! Utadhani wanakutakia mema au kukuonea huruma kumbe ukiwapa kisogo tu wanakuteta na kukucheka.Jielimishe kama hivi unavyopewa mawazo hapa JF na watu usiofahamiana nao. ni safe zaidi.Mwisho wa siku ni wewe na mumeo na ndoa yenu.
Gud luck!
WoS
 
Hizi simu mikosi sana, sasa hivi ndo natambua kwanini babu zetu na bibi zetu ndoa zao zilidumu na walikuwa na furaha nyakati zote! Hakukuwa na vifaa vya kizushi kama hivi, ukiwa na mzigo wako kijiji cha jirani unauzukia na kuuchinja kimyakimya-hakuna cha bipu wala meseji!
Siku hizi-mhhhh........uko chemba na 'small house' yako, mara ngriiii,ngriii,ngriiii- 'Hun uko wapi?' Unajibu huku kiroho kikienda mbio 'aah...niko hapa Tunda Pub, tunapiga mbili tatu na washkaji wa job'...'Mbona siko mbali na hapo? nipe dakika tano tu nitakuwa hapo, niodee mishkaki kabisa'....Mama wee, picha lishasanuka!
 
imebidi nicheke.....haaaa
 
Masuala ya kujibu simu yanaleta maswali yake. Kwa mfano kama mko na mwenzi wako unakuta simu inaita halafu anakuacha anaenda mbali kidogo kuongea ila ukiwa mdaku ndio matatizo yanapoanzia. Ni vyema ukajifanya huna habari kama alikuwa anaongea na mtu usipate pressure bure. Akipenda atakueleza mwenyewe. Jaribu kutojihusisha sana na simu ya mwenzi wako.

iite aende kupokea pembeni then arudi usimuulize?inahitaji moyo aisee, mimi sina tabia ya kupokea simu ya mr but ikiita aipokee hapo hapo tulipo sio kwenda kando nitajiuliza maswali yasiyo na majibu ndipo hapo nitakapohoji sasa, haa ni ngumu.
 
...jamani jamani, network husumbua saa nyingine!
 
So na yangu pia network ikiwa inasumbua niende nikapokee pembeni. au sio! Tit for tat! lol

hizi cmu jamani me sitaki kabisa! kuna cku tulikuwa tupo kwenye kilaji na marafiki wakaka/wadada, 1 wa wakaka ni bw harusi mtarajiwa, mchumba wake akaja kutu join hapo, akawa anachezea cmu ya mpenzi wake, msg ikiingia anamwambia nisomee, simu ikiingia kama ni no tu anamwambia pokea, baada ya mchumba kuondoka nikamwambia fulani nimependa sana ulivyo na mchumba wako nakuombea kila la kheri mkiingia ndani muendelee hivyo hivyo, akaniambia haaa "mjini hapa wanaoiba na kuhisiwa na wachumba/wake/waume zao hawajui kuibia hao ni bora watuachie wataalamu, nina kasimu ka vodafone hako ni ka ofisini tu, namalizana nao kwenye ile no huku ni ndugu, jamaa, marafiki wa kweli sio vicheche" i was shocked.....
 
Asante sana ndugu, yani ushauri wako huo wakutoa sauti nilikuwa sina kabisa. Na kuhusu no. ya demu kusave kama ni jamaa yake, hapo uhakika ni nnao maana hata mimi kabla ya kuolewa (enzi za usichana wangu) nakumbuka niliwahi kumfanyia jamaa mmoja hivyo maana hakuwa na muelekeo wa mapenzi na mimi na akawa na wivu. So that trick is in my finger tips. Stay blessed.

Inawezekana tatizo linaanzia hapo. experience huwa zinatutafuna some times.
 
Back
Top Bottom