Je, umeibiwa simu ufanye kitu gani kuipata?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Ikitokea umeibiwa simu uliyokuwa unatumia Je unatakiwa kufanya nini ? Najua kuibiwa kitu chako kipya au ulichonunua kwa Gharama yoyote ile inauma sio poa.

Uzi ni wenu wapwa si unajua Teknolojia ni Yetu sote

phonestolen.jpg


Nchini Tanzania inaonyesha karibia aslimia 68% ya watu waliobiwa simu zao wameshindwa kuzirudisha au kuzipata pale walipopoteza au kuibiwa simu.

p1.jpg


Unajikuta Kuna nyaraka muhimu zako umehifadhi kwenye simu yako alafu Kuna mtu amechukua bila kutarajia.

Je nini ufanye ikitokea umepoteza au kuibiwa simu yako

1) kwanza piga simu yako kujua kama inaita au imezimwa inawezekana Kuna mtu mwemq ameokota anaweza kukupa.

2) itafute simu yako kupitia mfumo wa find my device kwa watumiaji wote android & iphone wana feature inayoitwa find my device ya kuweza kutafuta simu yako ikiwa umepoteza au kuibiwa.

images%20(38).jpg


3) kwenye iphone tumia (find my iOS ) kwenye Samsung tumia smart things find au find my mobile pia kwenye android tumia find my device kwani Kuna baadhi ya simu unaweza kuzifuatilia ata kama imezimwa.

images%20(37).jpg


4) weka simu yako kwenye mfumo wa lock mode kupitia find my feature utaweza kuifunga simu yako ambao utatokea ujumbe kwenye kioo cha simu kuwa simu hii imefungiwa tafadhari piga namba 065****56

images%20(39).jpg


5) toa taarifa kwa watoa huduma piga 100 kwenda tigo , voda, Airtel, halotel nk kuwafahamisha kuwa umeibiwa simu pia wanaweza kukusaidia kufuatilia simu yako ikiwa utaenda ofisini kwao.

p3.jpg


6) toa taarifa polisi hakikisha una IMEI namba ni muhimu kuhifadhi IMEI namba kwani polisi watakusaidia kuweza kutafuta simu yako

p4.jpg


Nenda na risiti uliyonunulia simu , nenda na IMEI namba waambie polisi umeibiwa simu yako ni muhimu alafu ina taarifa nyingi muhimu watakusaidia kuwasiliana na huduma kwa wateja kuweza kuifuatilia simu yako na kuipata.

Ukitumia izo njia unaweza kuipata simu yako uliyoibiwa au kupoteza Ebu tuambie ulivyopoteza simu yako ulifanya jambo Gani kuipata Tena ?
 
Daaah wabongo hapana,
Wana flash na kubadili IME number,
Imeisha iyooo
IMEI namba zilizopo kwenye simu yako haziwez kubadilishika isipokuwa wsnao flash inakua ni temporary tu ila kama wakiamua mitandao ya simu kukutafuta wanakupata


Alafu ukibadilisha IMEI simu inakua inasumbua kwenye network upande w kupiga simu au kutuma sms pia software sometimes ina corrupt ila Sio kwamba unaweza badilisha IMEI permanent haiwezekani
 
IMEI namba zilizopo kwenye simu yako haziwez kubadilishika isipokuwa wsnao flash inakua ni temporary tu ila kama wakiamua mitandao ya simu kukutafuta wanakupata


Alafu ukibadilisha IMEI simu inakua inasumbua kwenye network upande w kupiga simu au kutuma sms pia software sometimes ina corrupt ila Sio kwamba unaweza badilisha IMEI permanent haiwezekani
Nimebadili simu yangu juzi mara ya 6 imei tofauti

na cm Mtandao 4G+ acha ulongo
 
Back
Top Bottom