New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,433
- 2,655
kweli kabisaMimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.
Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.
Simu za Samsung zenye specs kama hizo[emoji115] zinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.
Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.
-callmeGhost
Tecno ubaya wake zinakua na specifications nzuri ikiwa mpya ila unapoitumia inapungua performance kila siku kama hujui mchina ni mchina tuMimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.
Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.
Simu za Samsung zenye specs kama hizo[emoji115] zinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.
Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.
-callmeGhost
Ndio maisha ya mjini unanunua gari unahofia kuweka mafuta? Unataka sim Inayokaa na charge ili iweje sasa basi nunua Nokia 1200tecno ni bonge la simu tukianza na ukaaji wa chaji huwez fananisha tecno c8 na samsung s4 samsung ni kama pasi unatumia ikiwa kwenye chaji kama unabisha njoo sasa
Tena mwongezee kwa kila kituSamsung huwezi kulinganisha na Tecno mkuu
Zpo c5 nying tu,Ila hazina wateja sana,na nadhan weng hawajajua uzir wake,,,Ukitaka tecno inayovumilia chaji BA's L8/L8+ na ukitaka utamu nenda kwa j8 murua kabsaHata usiumize kichwa kanunue tacno kuanzia toleo la techno c5 mpk techno n8 zote ni nzuri na ndy smartphone inayovumilia maisha ya mtanzania na tecno c5 huwezi kupata mpya labda used au kwenye duka lisilokuwaga na wateja ila ni nzuri sana.
P5 Tecno au maana 2011 ilikuwepo kweli????mi natumia P5 toka mwaka 2011 sion shida naenjoy tu sijui labda kuna mambo nayakosa
Techno 6 plus "phanthom" ndiyo kila kitu. Iko nzuri kuliko hizo Samsung munazozizifia!!!
ni kweli mkuu mimi natumia hii cm W5 LTE naenjoy sana na hii simuTecno W5 LTE ingekua Samsung bila shaka ingeuzwa kuanzia 800k Tecno unaipata kuanzia 260,000 hadi 250,000 uamuzi ni wako Mkuu.
kwa hio bei si unapata grand prime + ambayo nayo ni kimeo cha mediatek vile vile ukizicompare utaona kuna sehemu kibao Tecno kapitwa.Tecno W5 LTE ingekua Samsung bila shaka ingeuzwa kuanzia 800k Tecno unaipata kuanzia 260,000 hadi 250,000 uamuzi ni wako Mkuu.
Hahahahkwa hio bei si unapata grand prime + ambayo nayo ni kimeo cha mediatek vile vile ukizicompare utaona kuna sehemu kibao Tecno kapitwa.
mfano
-grand + ina ram 1.5gb compare na 1gb ya Tecno
-soc yake ina perfomance zaidi ya Tecno, grand prime ina 1.4ghz cortex a53 mediatek mt6737 compare na 1.3ghz mt6735
-utapata build quality nzuri ya samsung
-probably camera na battery viwe vizuri zaidi kwenye samsung
sasa wewe kwa hio hio hela yako unanunua simu yenye specs ndogo halafu unajiona bab kubwa kumbe kuna simu ina specs kubwa kwa bei hio hio.
na samsung kidunia wana low end mbaya, ukiona umepitwa na samsung kwenye low end ujue na wewe pia ni kimeo vile vile.