asante kwa maelezo mazuri mimi nimenunua huawei y300 very nice phone....
ombi:; naomba kama unajua au mwingine yeyote anaejua zinapopatikana FLIP COVER zake nitashukuru sana
Kama upo mwanza nicheki naikuoneshe sehem hv,kuna cova na scren protec zake
asante kwa maelezo mazuri mimi nimenunua huawei y300 very nice phone....
ombi:; naomba kama unajua au mwingine yeyote anaejua zinapopatikana FLIP COVER zake nitashukuru sana
Hamna simu ambayo ukinunua KAMWE hautajutia. Sooner or later simu yoyote utakayonunua itakuletea shida tuu penda usipende! Kwa maana nyingine ni kuwa simu huwa hazina guarantee unaweza kuinunua leo kesho ikafa. Na wala usijidanganye kwamba aina fulani ya simu ni imara sana.. Inategemea na wewe utunzaji wako pia. Ila vyovyote itakavyokua usinunue Samsung Galaxy S1, S2 au S3. Ila nimeskia kuna kampuni za insurance siku hizi..
Unajustify vp asinunue galaxy wakat ndio simu zinazoongoza kwa kununuliwa duniani???
kaka kununua simu ya kichina bei ghali kuliko original ni upuuzi hua kila siku sishauri kununua mchina kuanzia laki 2 labda s4 clone peke yake ndo inadeserve hela mpaka laki 3.
kwa hela yako ukitaka tecno utaambiwa uchukue n7 hii simu utafiiri kioo chake kimefuliwa na blue yakueka kwenye shati kama wewe mpenda kubrowse itakuumiza kabisa.
huawei ascend y 300 ina specs sawa na tecno n7 yani processor ya 1ghz dualcore, ram 512, kioo inch 4 lakini hii y300 bei ni rahisi zaidi ni bora ununue hii.
Chief heshima yako kwaza.je unasemaje kwenye tecno P5 Na phanton A+
Naweza pata wapi hayo madude hapa Darkaka nilishaongea toka huko nyuma, mimi sizikubali hizi simu na zipo overpriced sana. watu wanaona laki 4 na nusu ndogo lakini kitu unachouziwa kina thamani ndogo sana kuliko hela unayotoa. hapa fata step hizi uthibitishe mwenyewe.
1. google specs za phantom a+
2. copy aina ya chip iliotumika (chip ya simu ina affect speed ya simu, internet, fm radio na mambo mengi) hapa utapata inatumia chip hìi MT6577H
3. igoogle hio chip ya MT6577H
4. utapata details zake toka website ya mediatek.
-1.2 ghz dualcore cortex a7 (imepitwa speed had na lumia 520 simu ya laki 2 na kitu)
-ipo optimized na android 4.04 hapa imeekwa android 4.2 hivyo perfomance itakua mbaya
ukiachana na chip internal memory ni 4gb na gb2 tu ndo unaweza tumia, ina flaws kibao.
ndo mana nashauri kama budget ni ndogo bora ununue s4 clone ina kioo sawa na phantom, processor quadcore japo ya mediatek ila atleast na internal memory nafkiri ni 8gb.
bei ni 250 hadi 300 hivyo utasave takriban laki 2 ikiwa hutanunua tecno
Kwani watu wengi wakinunua Audi A6 inamaana imekuwa yeboyebo, Samsung simu nzuri ila miye nashauri HTC One.Anataka awe tofauti na wengine. Watu kibao sasa hv wana smartphones za Samsung,ishakuwa yeboyebo.
Naweza pata wapi hayo madude hapa Dar
Anataka awe tofauti na wengine. Watu kibao sasa hv wana smartphones za Samsung,ishakuwa yeboyebo.
Chief, kuna post nimeweka but sikupata response yoyote. Nitumie sehemu kuomba msaada wako. Nahitaji kununua smartphone inayotumia android. My budget ni 250,000-300,000. Naomba nijuze ni gani nitapata good browsing experience.
Hii Note II ni balaa, tena kwenye chaji utafurahia mwenyewe.
Aleyn nakuunga mkono,hii note 2 inatisha ni kigongo sana.ukiitumia hutojutia mkuu