mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Habari zenu waungwana, mie ni kijana ambae kiukweli tangu nianze kutumia simu sijawahi kumiliki android phone hata siku moja. Na katika kutimiza azma yangu ya kutaka kumilik simu ya namna iyo niliamua kuchanga changa vihela vyangu tangu mwaka jana.
Sasa nimepata shilingi LAKI NANE za kitanzania.NAombeni mnishauri ni simu gani ninunue ambayo kamwe sitajutia hela yangu wala kununua nyingine kwa kipinndi kifupi( namaanisha inayodumu maana ela yangu nimeichanga kuanzia mwaka jana)
NB: iwe ni android style, napendelea brand za galaxy,xperia au htc, picha quality nzuri,internet ya kasi na memory kubwa
ni hayo tu wadau.Nitashuluru sana kwa ushauri wenu