Jerrymsigwa njoo huku jamaa anataka kununua simu ya laki8 wakati anatumia jiko la mkaa!!
Kiranga hawezi kukutukana, ata blast upuuzi tu.
Kama mtu anataka kununua simu hata ya milioni nane, wakati hana hata kijiko, mradi hela ni yake na hicho ndicho anachotaka yeye, tatizo liko wapi?
Kwa nini mtu kupenda kitu tofauti na unachopenda wewe liwe tatizo?
Kama vipi unaweza kuona business opportunity na kufungua duka la simu kumsaidia kutimiza haja yake vile vile.
What makes sense to you may not necessarily make sense to others.
Mkuu bado una hasira na mimi? Tek it easy bloke!
Hasira yangu inataka some semblance of intelligent provocation, and you did not pose that. I doubt you posses the requisite capacity. Do not flatter yourself.
Wewe unayenitajataja kwa hyperlink bila msingi labda ndiye mwenye hasira na mimi.
Ama hivyo, ama unaniparatia tu.
Post imeingiliwa, sorry kwa wachangiaji
nokia ya tochi kwanza utapata tochi na ni ngumu mie ndo nayoitumia kuhusu hizo android hata sizijui ningekusaidia
Aleyn nakuunga mkono,hii note 2 inatisha ni kigongo sana.ukiitumia hutojutia mkuu
Tatizo msimu mkubwa sana, Tablet sio tablet simu sio simu
Tatizo msimu mkubwa sana, Tablet sio tablet simu sio simu
![]()
3310
Mkuu, kuna simu inaitwa HTC ONE Mini.
Haijaingiliwa.
Mimi nilikuwa sijui kama hii thread ina exist mpaka hapo uliponialika kwa hyperlink hapa.
Kwa hiyo umenialika, nimekuja.
Huwezi kusema "imeingiliwa".
Check your logic before posting pretentious falsities.
Mkuu unapenda sana league mbona? ilikuwa ni ishu ya kuendeleza hii kweli