Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

Simu Ipi Bora Kati ya Simu za Tecno, Huawei na Simu za iTel..?

  • Tecno

    Votes: 8 25.0%
  • Huawei

    Votes: 22 68.8%
  • iTel

    Votes: 2 6.3%

  • Total voters
    32
unalinganisha simu ama unalinganisha brand? sababu huwezi ukasema tu simu ya Huawei au Tecno au Itel maana kuna maelfu ya simu ya hizo brand kuna nzuri na mbaya.
Namshangaa na mimi huyu jamaa, halafu mimi ni mdau wake sana kwenye web yake tech.

Lakini namshangaa anavyouliza swali la jumla namna hiyo.
 
Plz compare huawei na samsung apple lg na syo tecno na itel
Plz and plz stop
 
Habari wana JF, Najua hili ni swali la watu wengi sana, lakini ningependa, kujua ni simu gani bora kwako kati ya simu za Tecno, Huawei au simu za iTel. Ningependa kujua kwa kuchagua hapo juu, pia tukipata sababu ni kwanini pia itakuwa vizuri na itawasaidia watu wengine leo hata au hata hapo baadae.
Huawei unalinganisha na uchafu tecno na ndugu zake itel kampuni namba 3 duniani unaifananisha na kikampuni cha 100 huko halijulikani
 
Itel ziko poa ni user friend kwa macho yako hazina mwanga mkali sana wa kuumiza macho. hazigandi gand kama hizo simu za tecno. Zinajitahid kukaa na charge si kama Huawei. Pia ni very cheap. Mfano hii itel p51 iko bomba sana ingia Google uone specification zake
 
hiyo simu inafanya kazi vizuri ikiwa mpya kaa nayo miezi sita itaanza ku stach
Sio kweli mi natumia itel 1501 na wala haina tatizo ni mwaka wa tatu sasa .hiyo itel s31 tena INA ram na processor kubwa haiwez kustack
 
Tatizo hapo hatujajua kama unaongelea huawei ni huawei model ipi au ambayo inalinganishwa na tecno. Kuna tecno ambazo zinauwezo mkubwa kushinda baadhi ya huawei. Nakuwa huawei ambayo zinauwezo sawa na samsung galaxy s na note series. Hiz ni zile zenye chip za kirin ambazo ni powerfull kama qualcomn chip au exynos. Lakin kiukubwa huawei ni kampun kubwa ya tatu dunian in cellphones market. So huwez kuiweka same level na tecno.
 
Sifa ya kwanza,ukitongoza demu hachomoki.sifa ya pili chaji inakaa mpaka unasahau

Sifa ya 3 hauumwi hovyo hovyo.
Sifa ya 4 ram yake kama wowowo
Sifa ya tano camera yake inascan hadi firigisi.bei yake 200000
 
Back
Top Bottom