Tuko pamoja mkuu.Kwanini Huawei ni bora kaka.. Kama hutojali.
Asante sana kaka... Well Said!Tuko pamoja mkuu.
Huawei wanatengeneza system on chip (soc) zao zinaitwa KIRIN,component zingine kama kamera na sensa wanazotumia nizile zenye ubora wa hali ya juu.Ndiyo maana huawei zinauzwa dunia nzima na hata google wamewahi shirikiana kutengeza simu pamoja,hadhi ambayo ni samsung,HTC na motorola walikuwa wanapewa.
Kwa upande wa tecno wanatumia soc za MTK ambazo hutumiwa na brand zinazo uza china,asia mashariki,india na Afrika.MTK ni dhaifu kiutendaji ukilinganisha na QUALCOM na KIRIN.
Zaidi ya yote simu za tecno hutumia komponent zenye matilio ya hali ya chini ndiyo maana utakuta zinapokuwa mpya huwa zinafanyakazi vizuri sana lkn zikimaliza mwaka huwa choka mbaya,kuanzia kioo kufifia hadi kamera kuanza kukosa focus nk.

Sawa kaka sasa vipi kura yakoNimetumia zote 3
Tecno baada ya muda flani huanza pungua quality ya picha zake!.
Huawei baada ya muda betri lake ni majanga.
iTel haina sifa ya simu.
Bora kuenda na Huawei kuliko zote hapo!.
Nimeipatia Huawei lakini kwanini unataka kura badala ya maoni?..Unazani utafiti wako upo sahihi kulinganisha brand 3 pekee!..Kama uchina zipo brand nyingi sana za kichina kuna Infinix na Xiaomi etc.Sawa kaka sasa vipi kura yako
Acheni mizinguo.mimi natumia itel P51,hata Samsung haioni ndani.
Inategemea ni Tecno model gani, mimi yangu L9+ ina mwaka sasa na hivyo ulivyovisema sijui camera, ina process vizuri kama mpya, sioni tofauti.Tuko pamoja mkuu.
Huawei wanatengeneza system on chip (soc) zao zinaitwa KIRIN,component zingine kama kamera na sensa wanazotumia nizile zenye ubora wa hali ya juu.Ndiyo maana huawei zinauzwa dunia nzima na hata google wamewahi shirikiana kutengeza simu pamoja,hadhi ambayo ni samsung,HTC na motorola walikuwa wanapewa.
Kwa upande wa tecno wanatumia soc za MTK ambazo hutumiwa na brand zinazo uza china,asia mashariki,india na Afrika.MTK ni dhaifu kiutendaji ukilinganisha na QUALCOM na KIRIN.
Zaidi ya yote simu za tecno hutumia komponent zenye matilio ya hali ya chini ndiyo maana utakuta zinapokuwa mpya huwa zinafanyakazi vizuri sana lkn zikimaliza mwaka huwa choka mbaya,kuanzia kioo kufifia hadi kamera kuanza kukosa focus nk.
Sifa ya kwanza,ukitongoza demu hachomoki.sifa ya pili chaji inakaa mpaka unasahauTupe sifa za hiyo itel P 51
Na hata lifetime ya betry Tecno wameimprove sana.Hao techno na itel wanatoa internal memory kubwa kulinganisha na huawei pia upande wa bei techno na itel wako cheap but performance ya huawei nyingi ni bora kuliko techno... Ko kama unanunua kati ya hizo bora ununue Huawei... Hao wengine....
Haaa!Acheni mizinguo.mimi natumia itel P51,hata Samsung haioni ndani.
kwa lipi?Kwa limbwata?Haaa!![]()
![]()
![]()
![]()
kwa lipi?