Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

Simu Ipi Bora Kati ya Simu za Tecno, Huawei na Simu za iTel..?

  • Tecno

    Votes: 8 25.0%
  • Huawei

    Votes: 22 68.8%
  • iTel

    Votes: 2 6.3%

  • Total voters
    32
Inategemea ni Tecno model gani, mimi yangu L9+ ina mwaka sasa na hivyo ulivyovisema sijui camera, ina process vizuri kama mpya, sioni tofauti.[/QUOTE
Kwa tecno PHANTOM series ndiyo namba moja kwao na huawei ni P series kama unataka kulinganisha ubora kati yao.kwa ninavyo jua techno L9+ unabetri kubwa hivyo hutunza chaji mda mrefu,lkn ina proximity senser dhaifu.
 
Me sielewi natamba na tecno yangu Y3 mwaka wa nne sasa hao wengine sina habari nao
 
IMG_1791.JPG

Huawei ni ya tatu katika orodha ya kampuni zilizo uza kwa wingi simu za bei kuanzia dollar 600 -1000 kundi ambalo simu zenye ubora wa daraja la kwanza.Huku tecno hagusi.
 
IMG_1792.JPG

Ukichukua simu za matabaka yote kwa maana ya kuwa kuanzia zile za dollar 200 -1000 Huawei mwaka jana walikuwa na namba moja katika masoko ya simu sehemu mbalimbali duniani.Huawei wenyewe wanaamini matoleo ya HONOR ndiyo yanafanya vizuri katika tabaka la kati na chini la simu wanazouza.
 
TECNO.....MTK
HUAWEI.....QUALCOMM
ITEL....SPD

watu wa software wamenielewa vizuri, ni chip gani iko strong zaidi ya hiyo wanayoitumia Tecno
Quallcom but Quallcom nyingine hazipo vzr haswa kwa simu za bei ndogo
 
unalinganisha simu ama unalinganisha brand? sababu huwezi ukasema tu simu ya Huawei au Tecno au Itel maana kuna maelfu ya simu ya hizo brand kuna nzuri na mbaya.
Brand na experience za watu waliotumia.
 
Hakuna yenye unafuu hapo, zote ni simu za kishenzy tu. Tafuta brand nyingine achana na hayo makopo, ninatumia huawei, ila tabu ninayoipata doooh! Hizo brand zingine nina uzoefu nazo kupitia mafundi simu ninakutana nao mara kwa mara
 
Hakuna yenye unafuu hapo, zote ni simu za kishenzy tu. Tafuta brand nyingine achana na hayo makopo, ninatumia huawei, ila tabu ninayoipata doooh! Hizo brand zingine nina uzoefu nazo kupitia mafundi simu ninakutana nao mara kwa mara
Na je kama ni lazima uchague hapo ungechagua simu ipi.
 
Back
Top Bottom