nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
ungekuwa unakomaa kutetea ndoa yako ningekuona wa maana sana.. uamuzi wa kuvunja ndoa sio wa busara kabisa.. kumbuka uliapa kuwa utakuwa nae kwenye shida na raha.. shida zenyewe ndo hizo.. TIMIZA AHADI YAKO.
Nina uhakika maana kanionesha picha ya mume wangu, Rafiki wa mume wangu alikiri na yeye mwenyewe nilimuuliza kama anamfahamu (majina yake niliyapata kupitia namba yake ya simu), na akajibu ni changudoa - baadae akakubali na kusema ni shetani. Huyo mama alitaka nijue alivyoniumiza na alitaka nimuache. Alimpigia hata mama mkwe simu na vitisho...Yaani sijapata drama aina hii maishani, na anajua very deep personal things about me.
Ungekuwa mstaarabu na mjanja ww ungekaa na huyo mama umuulize yy anamfanyia nn mmeo mpaka wanaendelea ili naww umfanyie astoke ndan,kuwa almas huwi mbinifu n sawa na kuwa mawe ya kuchezea bao uswaz huko
Nina uhakika maana kanionesha picha ya mume wangu, Rafiki wa mume wangu alikiri na yeye mwenyewe nilimuuliza kama anamfahamu (majina yake niliyapata kupitia namba yake ya simu), na akajibu ni changudoa - baadae akakubali na kusema ni shetani. Huyo mama alitaka nijue alivyoniumiza na alitaka nimuache. Alimpigia hata mama mkwe simu na vitisho...Yaani sijapata drama aina hii maishani, na anajua very deep personal things about me.
Hilo ni jaribu la kwanza gumu kwenye ndoa yake na bila shaka ni ndoa chache hazipitii hilo!
Pengine ni wengi huwa hawafikirii kupatwa na hili swala lakini kulikosa kwenye miaka yote ya ndoa 50%
Unatakiwa kutumia akili sana na busara kwenye hilo lasivyo ndoa yako itavunjika!
Msamehe ameona wewe ni wa muhimu ndio maana aliamua kumuacha huyo Mama!
watu8 :thumbup::thumbup::thumbup:Kama ndio basi rejea kwake na kumuomba aokoe jahazi kila mara linapoonekana lakaribia kuzama...
Kama sio basi u na wakati mgumu maana mwanadamu aweza jambo gani kama Maulana hayupo upande wake?