Simtetei mwanamke

Wew mtoa mada naon hujielewi unazunguzia hawa wanawake Wa kisasa mweshimu uone moto wake me nawaheshimu tu wazazi na wama wenye miaka kuanzia 50 na kuendelea ila huku chini ya 50 siwezi hats kwa bunduki maana wengin tunacheza nap severe kama kawa ,kwanza acha ujinga Wa kuwaheshimu hawa wadada waliyo zaliwa miak ya 80 mpka sasa no ujinga
 

Women emancipation is the movement against nature.

Biblia inatutaka wanaume "tuwapende" wake zetu, na wao "watuheshimu" sisi. Sasa sijui unatumia Biblia gani mwenzetu
 
Siwezi kuacha asilani kupita bila kuchangia uzi wowote unaomtetea mwanamke
 
dini nyingi mbadala zinamuona mwanamke kama njia ya kwendaa mbinguni, kwa haraka nawe upo katika mkumbo huo labda bila hata ya kufahamu.
 

"Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye, ila mpumbavu ni mzigo kwa mamaye"

Those words!! Aiseeee.
 

Usemacho ni sawa lakini ni mtu na mtu,kumbuka mpaka hapa tulipo kuna wanawake wanatesa waume zao kuliko unavyofikili,dunia imebadilika,ni kweli ukimpata mwanamke mwema ni mwema kweli,lakini wako ambao ni sawa na nyoka rafiki,thubutu kukutwa
 
Mwanaume bila mwanamke hawezi ishi na wala siku haiwezi pita hasa humu ndani
 
Wanawake ... wanawake ... wanawake
 

Mkuu umenena yaliyo makuu
 
kwahiyo wanawake ndio wameshikilia uhai wa wanaume ama mimi ndio sijaelewa? Fafanua kidogo

Alieshikilia uhai wa binadamu yeyote ni Mungu.

Mwanzo18:1 Bwana Mungu akasema,si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Mungu aliona hawezi
 
Mkuu umenena yaliyo makuu
Achen kusuppotiana ujinga...kwan kumuheshimu mtu kuna maanisha nn, au unapungukiwa na nn ukimuheshimu mtu..yan mnaweka hasira kwa vtu visivyo na maana...msihukumu mana naona mnafanya mjumuisho wa wanawake wa age flan hawatakiw kuheshmiwa bila kujali si kila mwanamke wa age hyo yupo hvyo mnavyofikili nyinyi...
 


Only when that woman knows herself then that much I will lay low and bow

Otherwise un-instructible woman is a poison to man's life!

I respect my woman for what she is since she knows thyself..

Love her to the moon and back...she knows better!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…