Simtaki ila namtaka

Simtaki ila namtaka

Sema moyo ni mkaidi, jinsi ya kuufunza usipende ndio shughuli ndio maana watu hujikuta hayo yakitokea.

Ni mentality tuu...Kuityune. pia kujifunza from past experience....

Ukiwa team no kugandana..
Ukiwa team love for fun..kamwe hauta sumbuliwa na huu ujinga
 
simpo,mfukuzekiakili,kila akikupigia mpe invoice yapesa ndogo ndogo. eg bebi nina shida ya elf 60,kesho tena bebi nina sida ya laki.baadae bebi nina shida ya laki2....hadi milioni5. mwenyewe atasepa atakuona expensive. na akikupa chukua hiyo pesa kanunue chakula/nguo peleka kwa watoto yatima.
 
Huyo anakufanya chombo cha starehe. Stuka dada angu. Kama unajiikubali we mzuri na una tabia njema basi jipe muda. Atakuja anayekufaa. Mara nyingi mungu hukutangulizia watu wabaya ili wakija wema ujue thamani yao. Relax!!!
 
1. Giving someone all your love is never an assurance that he will love you back. Don't expect love in return, just wait it to grow in their hearts, but if it doesn't, be contentend that it grew in yours.

2.Never say goodbye if you still want to try, never give up if you still think you can go on, never say you don't love someone anymore if you can't let go.

3. Love comes to those who still hope although they have been dissappointed, to those who still believe although they've been betrayed, to those who need to love although they've been hurt before, to those who have the courage to build trust again.

4.,,,,,to be continued.
 
Huyo anakufanya chombo cha starehe. Stuka dada angu. Kama unajiikubali we mzuri na una tabia njema basi jipe muda. Atakuja anayekufaa. Mara nyingi mungu hukutangulizia watu wabaya ili wakija wema ujue thamani yao. Relax!!!
Nashukuru mkuu...
 
Mkuu haya maneno ni mazuri na yaliyojaa experience.
 
1. Giving someone all your love is never an assurance that he will love you back. Don't expect love in return, just wait it to grow in their hearts, but if it doesn't, be contentend that it grew in yours.

2.Never say goodbye if you still want to try, never give up if you still think you can go on, never say you don't love someone anymore if you can't let go.

3. Love comes to those who still hope although they have been dissappointed, to those who still believe although they've been betrayed, to those who need to love although they've been hurt before, to those who have the courage to build trust again.

4.,,,,,to be continued

Iendeleze mdau ila namba moja kweli tupu ngumu kumeza,namba mbili too confusing, namba tatu yanifaa sana for now..
 
Maamuzi yangu ni ku move on japo bado nampenda sana bt i have decided to move on.Shida ni kuwa sitaki disturbance zake..huyu mtu naishi nae mtaa mmoja daily I see him. Kumbuka nampenda namuona na binti wengne navumilia...

njoo kwangu ntakuondolea stress na utamsahau kabisa QUEENBM
 
Last edited by a moderator:
Nakuonea huruma tu, kwanini unajitoa kafara hivo????? hebu fanya maisha yako bhana..
 
huyo anakufanya chombo cha starehe. Stuka dada angu. Kama unajiikubali we mzuri na una tabia njema basi jipe muda. Atakuja anayekufaa. Mara nyingi mungu hukutangulizia watu wabaya ili wakija wema ujue thamani yao. Relax!!!

i appreciate these words big up mkuu it just like u dedicated me
 
Unashindwa kumove on coz bado umemuweka karibu huyo jamaa..Cha msingi ni kukata mawasiliano kabisa..Zen hilo la kuhusu kumsahau usijali...Niko tayari kukusaidia...Nimeshaku-PM namba yangu

Hehehehehe fursa zitakuua weee hahahah
 
Habari zenu wana jamii

Nimekuwa na kijana mmoja tumekuwa na mauhusiano kwa mwaka mmoja ila tukaachana kutokana na mwenzangu kuonekana anampenda ex wake zaid yangu.Wakati tupo katika mahusiano nkagundua bado anachat na ex wake na ex akimstress hasira zote ni kwangu.Kiukweli iliniuma sana na ilibid tuachane tu niokoe nafsi yangu.kuachana kuliniuma sana maana nilimpenda sana.kwakweli maisha nliona machungu.nilikonda sana stress sana hata kazi nikaacha.
Kinachoniumiza ni huyu mwanaume kutwa haachi kunitafuta nikitulia ananifata na kuappologise.Mm nimemsamehe japo bado kiukweli nina uchungu sana kwa magumu aliyonifanyia na kuniona sina maana.but shida yangu ni kuwa sitaki mawasiliano nae wala ukaribu nae maana nkiwasiliana nae najiskia kumpenda tu na ninatamani kurudiana nae ila yy hayupo tayar kurudiana nami anataka urafiki wa kawaida na mm siwezi.je wanadau nakosea kutaka kukata mawasiliano nae??
Saiz anakuja niwe karibu nae tena coz nimesikia mambo sio mazuri kwake na huyo mpnz wake.kiukweli icho kitendo mi kinantia hasira sana na kufanya nizidi kumchukia maana naona anaiona kama second option..nimfanye nn anitoke for good??staki mawasiliano nae wala ukaribu nae ili ni move on.

skiliza dogo,Emu jaribu siku 1 na wewe muonyeshe kama una mtu mwengine tofauti na yeye unampenda sana japo huna, lakini jitihada zako ajuwe tu na yeye kama una mtu japo na wewe unajifanya kumpenda na yeye.

Au siku 1 jifanye kuna mtu anakukaza sana, ama tuma sms ya mapenzi kwenye simu yake lakini ukimtaja jina mwanaume mwengine kama vile wewe ulikosea ikaingia kwake. huo ndo muarubaini huo ujinga wake utamaliza.
 
Ufunguo wa geto ninao mimi. Njoo kwangu mama nikupeleke gereza la mahaba !
 
skiliza dogo,Emu jaribu siku 1 na wewe muonyeshe kama una mtu mwengine tofauti na yeye unampenda sana japo huna, lakini jitihada zako ajuwe tu na yeye kama una mtu japo na wewe unajifanya kumpenda na yeye.
Au siku 1 jifanye kuna mtu anakukaza sana, ama tuma sms ya mapenzi kwenye simu yake lakini ukimtaja jina mwanaume mwengine kama vile wewe ulikosea ikaingia kwake. huo ndo muarubaini huo ujinga wake utamaliza.

Hahahaha hapo nitammaliza kbs...asante mkuu
 
Back
Top Bottom