Simtaki ila namtaka

Simtaki ila namtaka

Maamuzi yangu ni ku move on japo bado nampenda sana bt i have decided to move on.Shida ni kuwa sitaki disturbance zake..huyu mtu naishi nae mtaa mmoja daily I see him. Kumbuka nampenda namuona na binti wengne navumilia...

Unashindwaje kuzuia usumbufu wake?

Unashindwa kumuambia?

Kama hakusikii si una mblock?
Unampiga marufuku kuja kwako na kama ataendelea serikali za mitaa zi zipo?

Hiyo sentensi yako ya mwisho inaonesha hutaki kuachana nae na unazuga tu hapa....
 
Nimeshamwambia mara kadhaa ila hasikii.Ila namshukuru Mungu kwa asilimia kubwa nimeshamtoa moyoni.sizugi hapa nimefata ushauri na ninashukuru baadhi ya watu wamenishauri vizuri na ninafanyia kazi huo ushauri
 
huwezi coz wewe unaonekana unampenda

Nimeshamtoa moyoni kwa asilimia nying sana kama nimapenzi yapo kwa mbali sana ambapo sitaki ayaamshe kwa kunifata fata...siwez penda nisipopendwa huo ndo msimamo wangu na kuusimamia inahitaji maamuz magum na ushauri mzuri kutoka kwa mtu kama wewe
 
Mim nimeshtushwa na hiyo kauli hadi saiz naona maluweluwe.

Maskin mabinti hawa jaman!!! Mweee!!! Mbona mnakuwa cheap hivyo?? Ndio kuapply u wife material au???

Wallah!! Leo nimejua kwanin yumba ndogo zina shine na nyumba kubwa kupauka.

Sio maswala ya uwife material wala nn..pesa ya mtu inanoga anapokupa mwenyewe kwa kuridhia..mm binafsi siamin sana kwenye kuomba hela..kama ni ubwege acha niwe ----- simuombi mwanaume hela kamwe..akitaka anipe hatakiaache
 
Ila naamin pia principle moja wapo ya kushow love ni kutoa..ata Yesu alikufa msalaban kwavle alitupenda..
 
Sio maswala ya uwife material wala nn..pesa ya mtu inanoga anapokupa mwenyewe kwa kuridhia..mm binafsi siamin sana kwenye kuomba hela..kama ni ubwege acha niwe ----- simuombi mwanaume hela kamwe..akitaka anipe hatakiaache

Sijakwambia umuombe kama ulivyowaza, na usipozitumia wew lazima ujue kuna mwingine anazitumia atakavyo.

sasa bahati mbaya ni pale unapokua wa ziada na pesa hutumii binafsi inaweza niuma zaidi.
 
mahaba niue hayana umri mwaya. Hata wazee wa miaka 50 wanaendeshwa na vitoto vya 20s. Wewe ni addict wa huyo kaka. Mwenendo unakuwa hauwi tofauti sana na teja wa mihadarati au pombe. Akili yako inaona unaonewa ila limoyo linang'ang'ania tu. Moyo huwa unaumizwa lakini haukomi mpaka upondwe pondwe upoteze fahamu ndo huwa unakubali kuuuacha mhadarati wake. Na mbaya zaidi hata akili ikija kukuonyesha mtu mzuri wa ukweli moyo utamkataa ukifikiri utabamizwa tena. Fanya huu uchawi: chukua picha ya huyo kaka au kama huna picha andika jina lake halafu uongee kwa sauti kabisa huku ukimtaja jina kuwa ".. fulani kuanzia leo mimi si mpenzi wako tena na ninakutoa katika moyo wangu na maisha yangu. Huna mamlaka na moyo wangu wala maisha yangu. Na wewe moyo kuanzia leo ukome kumtaka fulani...." Uscheke. Maneno sometimes ukiyamaanisha yana nguvu.

Baada ya hapo akipiga simu moyo utakwambia pokea. We sikiliza akili yako, acha hiyo simu iiteeeee...ukiskia kulia we lia tu. Hivyo hivyo taratibu mpaka sumu yake ikutoke.
 
Hhahhahaha nimecheka ila nimeelewa ilo ni jambo la kiroho sana..
 
Sijakwambia umuombe kama ulivyowaza, na usipozitumia wew lazima ujue kuna mwingine anazitumia atakavyo.

sasa bahati mbaya ni pale unapokua wa ziada na pesa hutumii binafsi inaweza niuma zaidi.
Na kweli inauma hatari unaona kama umetumiwa tu...ila ipo siku.asante apologise lady
 
Habari zenu wana jamii

Nimekuwa na kijana mmoja tumekuwa na mauhusiano kwa mwaka mmoja ila tukaachana kutokana na mwenzangu kuonekana anampenda ex wake zaid yangu.Wakati tupo katika mahusiano nkagundua bado anachat na ex wake na ex akimstress hasira zote ni kwangu.Kiukweli iliniuma sana na ilibid tuachane tu niokoe nafsi yangu.kuachana kuliniuma sana maana nilimpenda sana.kwakweli maisha nliona machungu.nilikonda sana stress sana hata kazi nikaacha.
Kinachoniumiza ni huyu mwanaume kutwa haachi kunitafuta nikitulia ananifata na kuappologise.Mm nimemsamehe japo bado kiukweli nina uchungu sana kwa magumu aliyonifanyia na kuniona sina maana.but shida yangu ni kuwa sitaki mawasiliano nae wala ukaribu nae maana nkiwasiliana nae najiskia kumpenda tu na ninatamani kurudiana nae ila yy hayupo tayar kurudiana nami anataka urafiki wa kawaida na mm siwezi.je wanadau nakosea kutaka kukata mawasiliano nae??
Saiz anakuja niwe karibu nae tena coz nimesikia mambo sio mazuri kwake na huyo mpnz wake.kiukweli icho kitendo mi kinantia hasira sana na kufanya nizidi kumchukia maana naona anaiona kama second option..nimfanye nn anitoke for good??staki mawasiliano nae wala ukaribu nae ili ni move on.

aisee hiyo kupenda yako kiboko mpk nakuacha kazi???? jamaa alikupa nin ukadata hivyo??? yani mim ningekuwa wew ningepiga kazi mpk niongezewe mshahara mambo ya mapenz ningetulia nisubir mwingine tyu
 
angalia asije kukusababishia mafuriko, alafu huko kujaa na kufurika mbona kunapingana na nilipo kukwoti hapo awali?

Yaani ulichonokoti walaaa hakihusiani na hapa, kile ulichonikoti kiliishia pale pale na hiki ni kipya, alafu kumbuka ulinikoti jana, so siku hazifanani, teh teh teh!
 
Mim nimeshtushwa na hiyo kauli hadi saiz naona maluweluwe.

Maskin mabinti hawa jaman!!! Mweee!!! Mbona mnakuwa cheap hivyo?? Ndio kuapply u wife material au???

Wallah!! Leo nimejua kwanin yumba ndogo zina shine na nyumba kubwa kupauka.

Uwaifu material my foot kwani kuna tuzo zinatolewa? Mke gani sasa asojua kutumia hela ya mumewe!!
 
Uwaifu material my foot kwani kuna tuzo zinatolewa? Mke gani sasa asojua kutumia hela ya mumewe!!

Ajabu!! Mwanamke anaeogopa hela sasa hata maendeleo si yatachelewa, maana mwanaume hatotafuta pesa kwa bidii atii!!!!

Sharia mwanamke utumie pesa bwa kaka akili imkae sawa kuitafuta.

Hahahahaha!!! Kuna watu wanataman wameze saver za jf wakisikia haya.
 
Back
Top Bottom