- Thread starter
- #61
Nakuonea huruma tu, kwanini unajitoa kafara hivo????? hebu fanya maisha yako bhana..
Nlikuwa nasubiria reply yako sana...fafanua kidogo basi...barikiwa sana lkn nimekupata.
Nakuonea huruma tu, kwanini unajitoa kafara hivo????? hebu fanya maisha yako bhana..
Hivi mimi huwa sipendi au?? Hii kitu inakuwaje, mbona kama sielewi elewi!!!
huwa unapenda PESA, na sio mtu mwenyewe. Teh Teh
Mkuu hujapata mtu wa kukujaa moyoni
thanksWewe hujaamua ndyo maana unateseka. Wewe unasema unaishi mtaa mmoja? What is mtaa mmoja? Mimi nilikuwa nw mtu wa namna yako siyo kuishi mtaa mmoja bali darasa moja mbaya zaidi alikuwa ana kaa nyuma yangu, do you get a picture? If u decide to move on una move tuu ,tatizo jingine umempa nafasi kubwa sna sana. Acha ugumu wa kutoa maamuzi.
skiliza dogo,Emu jaribu siku 1 na wewe muonyeshe kama una mtu mwengine tofauti na yeye unampenda sana japo huna, lakini jitihada zako ajuwe tu na yeye kama una mtu japo na wewe unajifanya kumpenda na yeye.
Au siku 1 jifanye kuna mtu anakukaza sana, ama tuma sms ya mapenzi kwenye simu yake lakini ukimtaja jina mwanaume mwengine kama vile wewe ulikosea ikaingia kwake. huo ndo muarubaini huo ujinga wake utamaliza.
Unashindwa kumove on coz bado umemuweka karibu huyo jamaa..Cha msingi ni kukata mawasiliano kabisa..Zen hilo la kuhusu kumsahau usijali...Niko tayari kukusaidia...Nimeshaku-PM namba yangu
Nlikuwa nasubiria reply yako sana...fafanua kidogo basi...barikiwa sana lkn nimekupata.
Hela anazo ila zake mwenyeweDogo mapenzi mazuri mtu akupende na hyo tabia ya huyo bwa kaka kukufanyd wew wa akiba sasa wew sio tu umfanye dharula bali mfanye toilet pepa iliyotumika.
Unajua mwanamke kwa siku anatongozwa mara 10 wastani, sasa yeye muweke karibu pokea sim zake, jibu msg na asipokutafuta mtafute wewe tena kwa kilio cha mahaba ya kubembeleza ili ajione yey mjanja, lakini wakati huo uwe tayar unamwandaa mtu ambae anachukua nafasi yake, kisha taratibu anza kutojibu msg, siku nyingine akipiga unamwambia nipo "la aziz wangu" then unampiga marufuku kukupigia sim.
Kwanza ana hela au sharobaro tu???? Nijibu hl tuangalie
Hela anazo ila zake mwenyewe
WE vip wewe!!!!!!? Khaa!!! Sio zake ni zako pia, si ulikuwa ubavu wake japo wa akiba, hakikisha dakika za mwisho mnagawa hasara.
atoto hebu kuja mkaze huyu dogo.
Hahaha sante...na ni janga kweli.Eti anazo ila zake mwenyewe! Tangu lini hela za mwanaume zikawa zake mwenyewe? Hizo ni zenu bibie, kama mambo yenyewe ndio hayo basi tena we ni janga.
Eti anazo ila zake mwenyewe! Tangu lini hela za mwanaume zikawa zake mwenyewe? Hizo ni zenu bibie, kama mambo yenyewe ndio hayo basi tena we ni janga.
Mim nimeshtushwa na hiyo kauli hadi saiz naona maluweluwe.
Maskin mabinti hawa jaman!!! Mweee!!! Mbona mnakuwa cheap hivyo?? Ndio kuapply u wife material au???
Wallah!! Leo nimejua kwanin yumba ndogo zina shine na nyumba kubwa kupauka.
Hahaha. Nimeamaliza kusoma tu huu uzi, nikajiuliza mzee wa fursa uko wapi ufukuzie hii re-bound?
![]()
Checkmate move bro. Huna mpinzani.
Apologise lady inaelekea una stashahada ya kupiga chabo kwenye pochi ya mwenzio.
Hata yako ikipita karibu yangu lazima niipige chabo then naiwekea mipango mikakati wa matumizi.