Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,222
Kitu gani kinakuwaje??
Hii ya kugandana.
Kitu gani kinakuwaje??
Kitu gani tena?
Hii ya kugandana.
Si hiyo ya mtu hanitaki ila bado namganda tuuuuu.
Hii ya kugandana.
Asante mdau.ni maamuz mazuri ila magumu sana.navumilia sana.kinachonikera nikishamsahau na kumtoa akilin ndo anarudi tena kuwasiliana na mm inakuwa kama ananitonesha vidonda.sijui katumwa
Kwani na we wajua kupenda??
Hujapenda wewe ndio maana...hiyo ni inshu ya kisaikolojia sana...
Hahahaaaa! Tena napenda kama mwehu.
I only loved once, and thats it, sidhani kama itatokea tena aisee. Now ni ile ya kishkaji tu, teh teh asiione mtufudenge!!
Katika swala la kutopokea simu zake ndo nashindwa..najikuta napokea tena kwa hasira namshushua alaf badae zinayeyeuka..si unajua mapenzi..bt wat I knw z deep down in ma heart wana delete this dude in ma life...shida ni vile namuonaga sana tupo sehem moja mtaani..
Hahahaaaa! Tena napenda kama mwehu.
I only loved once, and thats it, sidhani kama itatokea tena aisee. Now ni ile ya kishkaji tu, teh teh asiione mtufudenge!!
Hii ya kugandana.
Let me guess, umri wako ni kati ya miaka 20 hadi 23. Utoto raha sana
Mahaba niueee....
Ila hata mimi nimeshaexperience kupendana kishkaji ni bora mnoo team no stress
Achana na pasua kichwa huyo.
Tulia, someone is waiting for you somewhere.
Haujawahi kuumizwa??
Exactly, hii ya mahaba nipofushe nitumbukie shimoni aiseee, hapana kwakweli.
Watu wakiacha kutumia hisia kupenda wataacha kuumizwa umizwa kizembe kama huku...
God didnt create me kuwa sidechick wa mtu ova