Nilikuwa nikifatilia mafunzo ya mwana saikolojia, theorojia mmoja. Alipata kusema ya kuwa
1.Mtoto si kiumbe kipya, bali ni kiumbe cha mwili mpya/mdogo
2.Mtoto huchagua mzazi, huamua kuwa huyu anafaa kuwa mzazi.
Pia, kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na bond kati ya spiriti inayoishi na ile iliyo katik dimension nyingine, bond hiii huweza kujengwa kupitia njia nyingi ikiwemo MAJINA , yaani tabia,hulka huweza kupasishwa kutoka mmoja kwenda mwingine. Pia, suala la bond ikiwa strong ndio itafika hadi ktk mwili wa hisia na kumbu kumbu.
Majina ni swala moja zipo aspect nyingi tu, kama majira ya kuzaliwa n.k
Sent using
Jamii Forums mobile app