Simpsons predictions

You are right, Dunia ya sasa ya utandawazi hii, utundu umekuwa mwingi kuna Watu wana copy characters wa Simpson na kuweka maudhui yao.
 
Hadi American Dad? Nimefurahi sana.
Kuna Thread moja ya Da'Vinci ya kuandika TV shows unazozipenda, niliandika zangu sikuona mwingine anayependa.
Kumbe wewe upo.
Duh huo uzi basi mimi nilipishana nao ila nimefurahi pia kuona mtu yuko interest na hizo animation maana toka nianze kuangalia nilikua najua nipo peke yangu
 
Yap naipata vizuri sana na ina mwendelezo wake ile the legend of korra ila yenyewe nimeiona kidogo tu episodes za mwanzo.
Ila mkuu unaonekana unapenda sana animation vipi penguins of Madagascar ushaicheki
Penguins of Madagascar? I am glad you reminded me of that show, umenikumbusha mbali sana, nitakuwa mtu wa namna gani kama sijaiangalia?

Kama sijasahau ni Nickelodeon series.
Tena ina movie yake pia ambayo ni spin-off film kutoka kwenye hii series nayo nimeiangalia.

Halafu hii series ya 'Penguins of Madagascar' pia spin-off ya Film ya Madagascar ambayo mtiririko wake ni 'Madagascar', 'Escape to Africa' na 'Europe's Most wanted' (kama sijakosea) tulikuwa tunaziita Madagascar 1,2 &3. Zote hizi niliziangalia pia.

Halafu inawezekana the penguins are the reincarnation to the dead soldiers wa WWII ambao wamekuja kuwa reincarnated as animals?

Napenda sana animations movies/series kwa sababu zinafikirisha sana. Ni kitambo sana yaweza kuwa nimechanganya.
 
Yap hapo uko right ilikua aired na Nickelodeon lakini ni originated kutoka DreamWorks animations,in short iko poa sana hata characters huwezi kuwachoka kabisa mwanzo mwisho.
Ila hyo story ya hao soldiers who reincarnated to penguins kwa kweli it's very interesting 😂😂😂😂😂😂😂
 
The Simpsons is my favourite show.
Ni kweli kuna mambo mengi ambayo yanatokea kweli, japo mengine ni photoshop kwa sababu hayapo kwenye episode yoyote.

I wouldn't be surprised if we found out the writers or whoever made the Simpsons are real time travelers tho I still don't believe in time travel.

Kuna episode ambayo Lisa was elected president to fix what trump did. Ngoja tuone labda ni uchaguzi huu.

chaliifrancisco naomba idea yako juu ya time travel. ELI5

Unajua kitu ambacho huwa najiuliza ni vipi hawa jamaa wanaweza kubashiri matukio na circumstances zikawa the same many years to come.

I don't really believe in time travel, huwa naona ni kama myth tu kwangu. Hata ile stroy ya Pan America Flight 914 ni story ambayo haina credibilty kwasababu kwanza sikuwahi kusikia survivor hata mmoja akitoa ushuhuda.

Ninachoamini mimi ni kuwa haya mambo huwa yanafanywa na secret societies ambazo mara nyingi zinakuwa na influence kwenye politics na social life in general.

The world is ruled a very powerful secretive few. They are in control of everything hata hawa leaders waliopo ni vibaraka wao tu. So hizi secret societies ndio huwa wanaamua nini kiwe nini na lini.

Relating to The Simpsons, may be huwezi kujua kama creators ni member wa hizi secret societies. May be they are part of the plan, kuwa since most of the things happen kwa commands zao basi huwa wanaplan na kuweka hayo matukio kwenye episodes miaka kibao kabla ya kutokea kwakuwa wanajua kuwa wameshaplan kuwa yatatokea in reality (hii ni personal opinion baada ya kutafakari haya mambo kwa mda na katika dimensions tofauti).

There are a lot of secrets that we don't know. The world is more than what we observe or hear. There has been so many conspiracy theories, the problem is tunaojiuliza maswali hatuna majibu yakueleweka zaidi ya speculations, wenye majibu hawawezi kuyasema kwasababu ya viapo vikali.

So my answer ni secret societies, ndio ninachoamini.

Thank you.
I believe elite secret societies exist but I don't think they run the world. Ila nikijaribu kufikiria haya matukio naona kabisa sio coincidence, everything happens for a reason.

Yawezekana ikawa hawa Illuminati wanapanga kweli nini kitokee na nini kisitokee? Maana matukio yanafanana hadi picha na namna watu walivokaa. Au pia pengine watu ndio wanaishi kwa kukopi yaliyopo kwenye ile series ili ku create attention?

Haya mambo ni mazito kidogo, kwa hiyo tutegemee raisi ajaye awe ni mwanamke? Bila shaka hapa ndio nitaamini hizi secret societies zinaongoza dunia na zinapanga kila kitu.
 
Yap hapo uko right ilikua aired na Nickelodeon lakini ni originated kutoka DreamWorks animations,in short iko poa sana hata characters huwezi kuwachoka kabisa mwanzo mwisho.
Ila hyo story ya hao soldiers who reincarnated to penguins kwa kweli it's very interesting
Jaribu kusoma soma Below 40. Halafu uje uniambie. Hivi vidude vinakuwaga na siri nzito za mafumbo mafumbo sana.
Japo ili kuelewa inabidi ujitoe akili kidogo na kwa muda fulani usahau uwepo wa Mungu (kama unaamini yupo).
 
Yap hapo uko right ilikua aired na Nickelodeon lakini ni originated kutoka DreamWorks animations,in short iko poa sana hata characters huwezi kuwachoka kabisa mwanzo mwisho.
Ila hyo story ya hao soldiers who reincarnated to penguins kwa kweli it's very interesting 😂😂😂😂😂😂😂
Dreamwork Pictures ndio the best kwangu aisee.. nawapenda mno. Kila animation wanayotoa lazima niitafute. Hapa nataka niitafute Abominable then Mwezi wa 5 huko tunasubiri boss baby 2
 
Thank you.
I believe elite secret societies exist but I don't think they run the world. Ila nikijaribu kufikiria haya matukio naona kabisa sio coincidence, everything happens for a reason.

Yawezekana ikawa hawa Illuminati wanapanga kweli nini kitokee na nini kisitokee? Maana matukio yanafanana hadi picha na namna watu walivokaa. Au pia pengine watu ndio wanaishi kwa kukopi yaliyopo kwenye ile series ili ku create attention?

Haya mambo ni mazito kidogo, kwa hiyo tutegemee raisi ajaye awe ni mwanamke? Bila shaka hapa ndio nitaamini hizi secret societies zinaongoza dunia na zinapanga kila kitu.
Naamini pia sio coincidence kuna siri nzito sana. Kuna possibility pia ya alliens nao kuhusika kwenye haya mambo.
 
Dreamwork Pictures ndio the best kwangu aisee.. nawapenda mno. Kila animation wanayotoa lazima niitafute. Hapa nataka niitafute Abominable then Mwezi wa 5 huko tunasubiri boss baby 2
Mkuu kwa kifupi Dreamworks ndo baba lao hawajawah kuniangusha ukichek kuanzia
Bee Movie
Kung Fu Panda
Madagascar: Escape 2 Africa
Monsters vs. Aliens
How to Train Your Dragon
Shrek
Megamind
Kung Fu Panda 2
Puss in Boots na nyingine kibao zinakuja.Halafu pia Walt Disney wako vizuri na wenyewe
 
Jaribu kusoma soma Below 40. Halafu uje uniambie. Hivi vidude vinakuwaga na siri nzito za mafumbo mafumbo sana.
Japo ili kuelewa inabidi ujitoe akili kidogo na kwa muda fulani usahau uwepo wa Mungu (kama unaamini yupo).
Kama una sources zozote link au bandiko tuwekee hapa mkuu,mimi binafsi sijaanza kufatilia muda mrefu hizi story za incarnation maana nilikua naona kama ni conspiracy tu.
Juzikati kuna documentary moja ya ki Buddhism niliiangalia ndo nikaanza rasmi kufatilia so bado sina information ya kutosha kuhusu elimu hii.
Ila Kama Buddhism ndo naona kama imeendekeza sana hii asilimia mia moja wanaamini
 
Sikumbuki source yoyote ila nitajitahidi kutafuta. Si hata kitabu utaweza kukisoma?
 
Back
Top Bottom